umejitambua......Yani leo hii ndio mnamlilia Mwalimu. Mmemgaragaza , mmemfukarisha, mmemnyanyapaa miaka 10 yote ya awamu hii.
Kwa vile mnaenda uchaguzi ndo mnampenda kinafiki leo.
Shime kwa walimu TANZANIA nzima.
Msikubali kutumiwa tena na magamba makuu haya. Unaa mkubwa .
kunamfanyakazi kila mwezi anakatwa 400000/= ni hatari ccm.tukutane oktober
Yani leo hii ndio mnamlilia Mwalimu. Mmemgaragaza , mmemfukarisha, mmemnyanyapaa miaka 10 yote ya awamu hii.
Kwa vile mnaenda uchaguzi ndo mnampenda kinafiki leo.
Shime kwa walimu TANZANIA nzima.
Msikubali kutumiwa tena na magamba makuu haya. Unaa mkubwa .
Hapo kwenye bold mi nimekuelewa sana, kiukweli umenikumbusha mbali sana kuhusu sakata la yule profesa MDINI.Mbali na makampuni ya simu, kwani serikali ikiamua kukata 20% tu ya matumizi ya magari (V8's) si itaokoa mara hamsini zaidi ya hizi!? (Kumbuka kuna ripoti ilisema magari tu yanatumia trillion 5). Alafu anavyoongea utadhani yeye sio mfanyakazi wa serikali na hiyo kodi haimhusu!
Ni bora kuwa na mawaziri kwa profile zao kama rasimu ya Warioba inavyotaka badala ya hizi nafasi kutumiwa kuzawadiwa na kuponya magomvi ya familia.
Mkimbia umande afanye kazi BOT Enzi za Nyerere? Na hakufukuzwa kazi, ali resign mwenyewe. Think twice brother/sister.Nawasiwasi kama chadema itaweka kipaumbele kwa walimu sababu naambiwa Mbowe alikimbia umande (unconfirmed news)
Hii ni moja ya changamoto kubwa kama sisi watanzania tukitekeleza tutafanikiwa na kupiga hatua mbele.
Wengi wa watu tunaowapa uongozi nchi hii ni malaya sana sijui tuna laana gani..Makongoro ana mitoto ya nje kama 23 hivi..kumbe hata huyu Letitia alikuwa mkewe
njaa mbaya sanaNimeshangaa kumuona Mh. Leticia Nyerere Mbunge huyu wa Viti Maalumu wa CHADEMA,
Kulikoni wakuu? Kwani amejitoa CHADEMA tayali? na tena kauliza swali la nyongeza. Mwenyekiti wa UKAWA alitangazia Umma kwamba UKAWA watalisusia bunge. Sielewielewi.
Mkuu yote hiyo yalikuwa makato?ni Kwa Mwaka au mwezi?Enzi nipo mtumwa,kwa mwaka nilikuwa nakatwa kodi kati ya 4.2m mpaka 5.0m wakati mkinga wa k/koo mwenye ghorofa tano analipa laki 7 kwa mwaka...mie nakatwa fedha kabla hata sijanunua sabuni wakati mkinga anakatwa ile faida baada ya kutoa kila kitu..serikali iangalie hilo.
Mkuu, nazungumzia laki nne? Kuna watu wanakatwa milioni kaka, ni HATAREEEE.
Mkuu yote hiyo yalikuwa makato?ni Kwa Mwaka au mwezi?
Wengi wa watu tunaowapa uongozi nchi hii ni malaya sana sijui tuna laana gani..Makongoro ana mitoto ya nje kama 23 hivi..kumbe hata huyu Letitia alikuwa mkewe