Nguvu ya Hoja
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 276
- 125
Mhe. Kigwangallah ameomba mwongozo wa mwenyekiti bungeni leo,akimwomba aitishe kikao cha kamati ya uongozi na kamisheni ya bunge ili kuona namna ya kuliepusha bunge na aibu inayoweza kutokea kesho wakati wa kuhitimisha na kuvunja bunge,kutokana na minong'ono iliyosambaa hapo bungeni.
Mhe.kigwangallah hakutaja minong'ono hiyo wala kusema ni aibu gani itakayotokea,mimi pia taarifa hii ni mpya kabisa masikioni mwangu,naomba wadau wanaoujua watujulishe ili tuchangie mawazo yetu.
Mhe.kigwangallah hakutaja minong'ono hiyo wala kusema ni aibu gani itakayotokea,mimi pia taarifa hii ni mpya kabisa masikioni mwangu,naomba wadau wanaoujua watujulishe ili tuchangie mawazo yetu.