Tatizo hapa binadamu hatulingani na hiyo ni jinsi Mungu alivyotuumba.Sasa wanaogopa nini?Wangemshauri Bi Mkora kuifuta ile adhabu yake immediately baada ya kuitoa.Sasa wamepitisha madudu ndiyo wanawakumbuka?
Pamoja na matusi yote waliyowatukana wapinzani wakirudi hao wapinzani nitawaona wapumbavu kabisa.
Habari! naangalia Bunge sasa nimekuwa suprize kumuona Mh. Mbunge huyu wa CHADEMA
Kulikoni wakuu? Kwani amejitoa CHADEMA tayali? na tena kauliza swali la nyongeza.
Majembe hayawezi kulamba matapishi, hiyo ni aibu yao
Afadhari MUNGUMTU kashatoa msimamo wa chamaSikulaumu kwani najua CEO bado hajatoa tamko la msimamo wa chama
Wakaze kitu gani wakati mbunge wa Ukawa Leticia Nyerere yupo bungeni.Ukawa kazeni asirudi mtu.
Wapinzani gani unataka wakati yupo Leticia Nyerere Chadema, John Shibuda Chadema, Mrema TLP, John Cheyo UDP.Kuna wabunge kadhaa wanataraj kujivua uanachama wa ccm
Sty tuned..
Aibu nyingine.n.raisi kufunga bunge bila upinzani..hahaaaaa
Teh Teh UKAWA kwisha kazi....
Ex-wife wa Madaraka Nyerere...
Madaraka Nyerere ni kijana/mtoto wa Kambarage
Nasasa!!Alikuwa mbunge wa cdm
Tatizo hapa binadamu hatulingani na hiyo ni jinsi Mungu alivyotuumba.
Wazungu na wengine uwezo wao wa kufikiri hatutofautiani lakini wanajitahidi kuangalia mbele walau miaka 50 - 100.
Wenzetu Kenya na Rwanda tunaishi kwenye matatizo yanayofanana lakini wanaangalia miaka 20 - 60.
Tanzania pia baadhi tunajitahidi kuangalia kati ya miaka 30 - 70 mbele, lakini hawa ccm wanatuharibia maana wao wanaangalia siku 2 mpaka miaka 5 tu ya uchaguzi unaofuatia.
Sasa angalia hili suala pamoja na wingi wao hawakujua kitakachofuatia baada ya juma moja, ni ajabu!!!
kunamfanyakazi kila mwezi anakatwa 400000/= ni hatari ccm.tukutane oktober
Watoto wa hayati Baba wa Taifa wanajielewe,sidhan kama Leticia ni mtoto wa hayati JKN.Hivi nae ni mtoto wa hayati baba wa Taifa?