yeye ni muumini wa kweli, wa kuwa kilichounganishwa na mungu hakuna wa kukitenganisha, labda kifo. BASI, kwa hiyo yupo sahihi kabisa kutumia jina hilo.Kama waliachana Kwa nini atumie hill jina, yeye hana wazazi?

Ex-wife wa Madaraka Nyerere...
Madaraka Nyerere ni kijana/mtoto wa Kambarage
Hivi huyu Leticia Nyerere uwa wana undugu na Yericko Nyerere kuna sehemu nilisoma Yericko akimuita shangazi.
Nakala; FaizaFoxy.