Yanayojiri bungeni Dodoma leo 08 Julai 2015

Yanayojiri bungeni Dodoma leo 08 Julai 2015

labda tuulizie huyu yericko nyerere bingwa wa thread za uwongo anatoka uzao upi wa nyerere
 
Hilo jina la Nyerere angeachana nalo....watoto wake ndo wenye hlo jina.Anakuwa kama hana wazazi bwana.
 
Huyu LETICIA yuko CHADEMA bado lakini hayuko UKAWA pamoja na ARFI na SHIBUDA. Hawa wote waliendelea kuhudhuria vikao vya BUNGE MAALUMU LA KATIBA. In fact hawatagombea UBUNGE kupitia UKUWA.
Nawasilisha
 
Akijibu swali Bungeni kuhusu kupunguza kodi ya mapato kwa wafanyakazi (PAYE), Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, amesema serikali itaendelea na mpango wa kupunguza kodi hiyo kwa awamu kwani kupunguza kodi hiyo kwa asilimia moja tu inapunguza mapato ya serikali kwa kiasi cha shilingi bilioni 21.
 
Habari! naangalia Bunge sasa nimekuwa suprize kumuona Mh. Mbunge huyu wa CHADEMA

Kulikoni wakuu? Kwani amejitoa CHADEMA tayali? na tena kauliza swali la nyongeza.
Huyo ni mmoja ya wabunge wa kupeana aka viti maalumu ambaye hajitambui,anajipendekeza CCM ili october arudi tena mjengoni,sasa kurudi tena bungeni asahau labda magamba wamkumbuke kwenye ukuu wa wilaya.
 
Kwa hiyo ACT ule upitishaji wa ile miswada mnaona ilikuwa sawa? Ndio maana mnapewa majina ya ajabu
Aa! kumbejina hata mbuzi analo! ulitegemea nini kama hajapata adhabu yeye atoke kwa adhabu ya wengine? yamepitishwa mangapi wakiwamo! kulikuwa na kosoro ip ktk muswada ule kupelekea wao kugoma, kilajambo lazima upinge hatakama jema kwa wananchi!
 
Natoa mwito huyu mama Leticia aache kutumia jina la Nyerere mara moja.
Ni dhahiri huyu ni mganga njaa.
 
Hivi kodi inayopotea kutokana na makampuni ya simu na madini kutosajiliwa katika soko la hisa zisingewza kufidia pengo hili na chenji ikabaki?
 
Mbona Mch. Dr. Gertrude Rwakatale anatumia jina ex-husband wake, lakini hamuhoji?

Wanawake wanapenda sana kutafuta umaarufu kwa gharama yoyote ile, wako radhi wapate "kiatu cha baniani" wakati wanasema ni mbaya!

Ona hata Anna Kilango alivyo acha kutumia jina la husband wake wa kwanza akachukua la John Jumanne! Winnie wa South naye Kang'ang'ania la Madiba mpaka kesho. Graca yeye pamoja na kuolewa na Madiba lakini la kakomaa na la Samora kwa vile alikufa kishujaa.
 
Back
Top Bottom