Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, January 27, 2015

Acha kukariri ndugu!
Nina macho ya kuona, masikio ya kusikia, na ubongo wa kutafakari. Achana na international media unayoongea, uamsho na al shabab hapo kenya vyatoka wapi? Sio ishu za international media hapo!
pia mimi sina chuki mimi, ni nyie wachache wa imani yenu, kila kitu mnaleta dini, uzi wa bunge inakuaje mnaleta mambo ya 'sisi waislamu ni wengi, ............', pointi yenu iko wapi! Mnatakiwa nyie wachache mjitafakari.
come on men. i know that you are not a GREAT THINKER but at least show us that'you have got a HEAD ON YOU NECK'. Kama hujui what is behind BOKO HARAM AND ALSHABAAB you better shut your dirty mouth. kwani LORD'S RESISTANCE AMY (LRA) ya mchungaji JOSEPH KONI iko wapi?? si hapo uganda tuu na wameshaua malaki ya waganda na kuchukua mateka maelfu ya watoto!!!
kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa wale LRA ndio wakristo wa afrika mashariki mlivyo.. vipi kuhusu ANTI BARAKA wa JAMHURI YA AFRIKA YA KATI!! WAKATOLIKI WALE KWA CHUKI ILIYOKITHIRI waliamua kuwa CANNIBALS(wala nyama za watu) kwa kuwaua na kuchemsha maiti za waislamu na kuzila hadharani. nako sio mbali na hapa ujue. je wale nao ni kama nyie???
katu siamini hivyo na siamini kama hawa ndugu zangu wa kikristo tunaogonga CHEERS kila siku wanafanana na LRA wala ANT BARAKA.
ISHI KWA CHUKI kwa sababu kwa kawaida chuki huanza kumtafuna yule anayeitunza kabla haijahamia kwa achukiwaye
 
Hivi mmeona kinachoendelea bungeni?! Yaani akisimama mpinzani kuuliza swali sauti haisikiki. Ila akisimama waziri, spika au mbunge wa ccm kuongea au kujibu sauti inasikika. TBC ni noma, duh!

Kwa wauliza maswali wengi, hakukuwa na sauti!! Mmoja wapo, Rage, hakukuwa na sauti.
 
Hakuna chama kitashika madaraka Tanzania bila kura za Waislam walio wengi, hilo kumbuka.

Na sasa Waislam tutatumia nguvu yetu ya kura kushinikiza tuyatakayo. Atependa haya asiyependa haya, Waislam tukipiga kura ya NO usahau madaraka. Kumbuka hilo.

Do you mean what you say or you mean something else? If the former is true, Hapo nakupinga Mkuu! Nakupinga. ""Waislam ni muhimu ktk suala la kura,lakini sio lazima""

Tusiende mbali sana. Tuyaache vivyohivyo.
 
come on men. i know that you are not a GREAT THINKER but at least show us that'you have got a HEAD ON YOU NECK'. Kama hujui what is behind BOKO HARAM AND ALSHABAAB you better shut your dirty mouth. kwani LORD'S RESISTANCE AMY (LRA) ya mchungaji JOSEPH KONI iko wapi?? si hapo uganda tuu na wameshaua malaki ya waganda na kuchukua mateka maelfu ya watoto!!!
kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa wale LRA ndio wakristo wa afrika mashariki mlivyo.. vipi kuhusu ANTI BARAKA wa JAMHURI YA AFRIKA YA KATI!! WAKATOLIKI WALE KWA CHUKI ILIYOKITHIRI waliamua kuwa CANNIBALS(wala nyama za watu) kwa kuwaua na kuchemsha maiti za waislamu na kuzila hadharani. nako sio mbali na hapa ujue. je wale nao ni kama nyie???
katu siamini hivyo na siamini kama hawa ndugu zangu wa kikristo tunaogonga CHEERS kila siku wanafanana na LRA wala ANT BARAKA.
ISHI KWA CHUKI kwa sababu kwa kawaida chuki huanza kumtafuna yule anayeitunza kabla haijahamia kwa achukiwaye

Okey, Mr. Great Thinker, kama umeamua kutumia kichwa chako kufugia nywele tuu, Hongera!! Naona tartiiibu unaanza matusi. !!
Sina chuki, chuki ni nyie mnaoleta udini ktk kila topic!!
I think you sound better when your mouth is shut!!
 
Tatizo umekaririshwa na umekubali matokeo ya kukaririshwa huko madrasa, inasikitisha! Toka usome madrasa, ni kitambo sasa, mambo yamebadilika!

Naona sasa unataka kuleta mjadala wa madrassa na Qur'an, nakushauri fungulia nyuzi tuje kukupa darsa.
 
Do you mean what you say or you mean something else? If the former is true, Hapo nakupinga Mkuu! Nakupinga. ""Waislam ni muhimu ktk suala la kura,lakini sio lazima""

Tusiende mbali sana. Tuyaache vivyohivyo.

Pinga upendavyo, ni haki yako ya msingi kupinga. Kumbuka tu, Waislam tutatumia turufu yetu ya kura na tukikupigia no kwa wingi wetu ujuwe hupiti.
 
Naona sasa unataka kuleta mjadala wa madrassa na Qur'an, nakushauri fungulia nyuzi tuje kukupa darsa.

Machache ya msingi na ya maana kutoka ktk Qur'an niyajuayo yananitosha na kunisaidi, pia ningependa nianzishe uzi wa kujua zaidi kuhusu hivi vitu ulivyotaja hapo juu, hofu yangu ni nyie radicals mtatoka nje ya mada!
 
Okey, Mr. Great Thinker, kama umeamua kutumia kichwa chako kufugia nywele tuu, Hongera!! Naona tartiiibu unaanza matusi. !!
Sina chuki, chuki ni nyie mnaoleta udini ktk kila topic!!
I think you sound better when your mouth is shut!!
you are right man!! because when i open my mouth, i spit venom that hunts every pathetic ill-brain like yours. let me shut it
 
Hakuna chama kitashika madaraka Tanzania bila kura za Waislam walio wengi, hilo kumbuka.

Na sasa Waislam tutatumia nguvu yetu ya kura kushinikiza tuyatakayo. Atependa haya asiyependa haya, Waislam tukipiga kura ya NO usahau madaraka. Kumbuka hilo.

sii lengo langu kutaka kujua hili kwan ni private issue. je unaongea haya kama shekhe mkuu, au umechangia tu!
hebu tunapochangia hoja tukae kwenye nafasi zetu!
isije ikawa we ni muuza kitimoto halafu unachangia kama alhaj fulan. be careful!
 
Waafrika bwana, dini za mapokeo zinatugonganisha bila kujua kuwa huo ndiyo mtaji kwa watawala wa nje. Tanzania hatuhitaji mahakama yoyote ya kidini. Kama kuna sheria kwa sasa ina ukakasi kwa jamii ipelekwe bungeni ijadiliwe na kurekebishwa. Kama kuna mtu ndani ya Tanzania anataka aongozwe na taifa kiimani yake basi eidha ahamie nchi za kikristo au kiislam, zipo nyingi tu.
 
Tanzania haina udini jamani....mahakama ya kadhi kuhudumiwa na serikali ya nini. Mimi nafikiri kama waislamu wanataka mahakama ya kadhi wangeiongelea kwenye baraza lao then waone jinsi ya kuianzisha.
 
sii lengo langu kutaka kujua hili kwan ni private issue. je unaongea haya kama shekhe mkuu, au umechangia tu!
hebu tunapochangia hoja tukae kwenye nafasi zetu!
isije ikawa we ni muuza kitimoto halafu unachangia kama alhaj fulan. be careful!

Wewe ukichangia humu unakuwa Pengo?
 
Tanzania haina udini jamani....mahakama ya kadhi kuhudumiwa na serikali ya nini. Mimi nafikiri kama waislamu wanataka mahakama ya kadhi wangeiongelea kwenye baraza lao then waone jinsi ya kuianzisha.

Kama Tanzania haina dini na isiwe nayo lakini Watanzania tuna dini.
 
Tofautisha watu na mfumo.......mfumo hauna dini ila watu wanaoongozwa na mfumo huo wana dini tena zinazotofautiana. Hivyo mfumo hautakiwi kujiegemeza kwny dini moja hvo kwamba utaonesha kushinikizwa zaidi na dini moja.....hii itawagawa watu wanaoongozwa na mfumo huo maana utakuwa na some elements of religious biasness.
 
Mbona mnabishana na asiejua asemalo.huyo bibi kila siku anafikra finyu alisema hawata ng'oka leo hii wezi wapo wapi?kuhusu mahakama ya Kadhi sahau na uccm wako usiojua mambo yapo vpi hakuna kitu kama hicho.
 
CCM imedumaza akili za watu kuwa ving'ang'anizi hata kwny mambo yasiyo na msingi kama haya.....kama wameshindwa kujiongoza wenyewe mpaka wanatafuta huruma ya serikali iwaongozee taasisi zao WAMEFELI.
 
you are right man!! because when i open my mouth, i spit venom that hunts every pathetic ill-brain like yours. let me shut it

Your comment above speaks volumes Mr. Great Thinker!!
"Thanks" for shuttin it up, otherwise, your spiteful venom will affect innocents!!
 
Huyu mbibi nimetambua kuwa ni sumu, kila mahali, lazima achafue hali ya hewa kwa kuanzisha mambo ya kidini.
Nafikiri ni ajuza fulani, na yuko dissapointed hatoweza shuhudia ndoto zake za imani yake zikitawala nchi, sasa ameamua kuongea pumba tu kila mahali.
Pia sijui ushawishi wake kwa mods uko vipi, kuna siku mtu alianzisha uzi kwenye picha wala hauna udini, akaja yeye akamwaga sumu kwa kudai unakashfu imani yake kisha akaanza kuwaomba mods wafute uzi, na mwisho wa siku uzi ulifutwa!!

Unadhani huyu ni jike? Huyu Dume wa zenj. Suruali goti. Hiyo picha ni ile niya yake ya kuwavisha mask wanawake nasi. Koote hutamsikia akisema lolote bali lete mjadala wa dini, mara moja atajitokeza kusema. Hajui sayansi, hesabu wala psychology, yupo yupo tu! tunaomjua ndo hivyo.
 
Back
Top Bottom