MchunguZI
Platinum Member
- Jun 14, 2008
- 4,047
- 2,239
Mtaji wetu. Kumbuka hilo. Kusoma kwako kote huipati ilmu aliyokuwa nayo mtoto wa miaka 7 wa Kiislaam, kumbuka hilo.
Naona unatafuta kuungwa mkono na waislamu wote. Nimesema mtaji wako, wewe unasema wetu, kwa nini? Au ni graduate wa ile seminari ya morogoro inayoitwa chuo kikuu.
Huyo mtoto wa miaka 7 ndo yule anayeamini ukikojolea kuruani unageuka mjusi?