Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, January 27, 2015

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, January 27, 2015

Mtaji wetu. Kumbuka hilo. Kusoma kwako kote huipati ilmu aliyokuwa nayo mtoto wa miaka 7 wa Kiislaam, kumbuka hilo.

Unamaanisha elimu ya madrasa au! Wee ni kituko kweli!
Alafu Inakuwaje mnalalamika, oooh, baba riz moja mbona kapendelea mawaziri na manaibu mawaziri wa imani fulani tu?? Unajua kuwa kuna elimu inahusika hapo?
Kumbe wewe ni bumunda, sasa nimejiridhisha rasmi!
Pigeni shule, elimu ni ufunguo wa maisha!! Acha utani.
 
Inasikitisha, uzi wa bunge umemwagiwa sumu na kugeuzwa wa dini. Sijui hawa mods wanamtazamo gani na huyu mtu. Kila mahali, huwa anavuruga!
 
Hakuna kitu kwenye hiyo Tv ndugu zangu. Kama hatutakubali kubadilisha hili lichama la ovyo basi matatizo hayataisha. Kilio kitaendelea hadi mwisho wa dahari
 
Kura za waislamu pia zitahitajika kwa yeyote atakayetaka kushinda kiti cha urais, ila kudai waislamu ni wengi, PLEASE, utakuwa unaota!! Tz bara, ni ukanda wa pwani ndo kuna waislamu, na Dar es salaam usiihesabie, imevamiwa na wakristo, bara mkoa wa Tabora ndo wa waislamu!! Huo ndo ukweli, katembee bara, usizeekee sehemu moja!
Tungekuwa tunasema hii nchi ni ya kikristo au kiislamu kwa kuangalia wingi, hii nchi ni ya Kikristo, utake usitake.

Wewe bwabwaja na kuhororoja upendavyo, ni haki yako, lakini nakushauri kanisome tena yakuingie.
 
Hakuna kitu kwenye hiyo Tv ndugu zangu. Kama hatutakubali kubadilisha hili lichama la ovyo basi matatizo hayataisha. Kilio kitaendelea hadi mwisho wa dahari

Nashangaa, ni karibu masaa mawili sasa hamna sauti, na kwao yaonekana ni poa tu! Sijui ni makusudi au tatizo la ufundi, ila karibu masaa 2 sasa!!! Hatari.
 
Wameliiga kwa waislamu??? Excuse Me???
Ebu punguza muhemko na wewe, tumia kichwa cha juu kufikiri.
Ni mwamvuli upi huo unaosema? Al qaeda, boko haram, au uamsho? Mwamvuli upi huo?
You are propelling youself out of point brother tena kwa makusudi.. weka chuki pembeni maana hata YESU MWENYEWE NA INJILI VIMESISITIZA UPENDO.
hayo makundi uliyoyataja hayana tofauti na IRGUN, NORTHEN IRELAND CATHOLIC MILITANTS,LORDS RESISTANCE AMY, ANT BARAKA na wengineo. sasa kwa sababu akili yako ni NDOOOOOOGOOOOOOO sana kiasi cha KUENDESHWA NA PROPAGANDA ZA INTERNATIONAL MEDIA HOUSES, naomba nikuache ila BOB MARLEY alishasema'' EMANCIPATE YOURSELVES FROM MENTAL SLAVERY.. AND NON BUT YOURSELF CAN FREE YOURMIND.
 
Wewe bwabwaja na kuhororoja upendavyo, ni haki yako, lakini nakushauri kanisome tena yakuingie.

Tatizo umekaririshwa na umekubali matokeo ya kukaririshwa huko madrasa, inasikitisha! Toka usome madrasa, ni kitambo sasa, mambo yamebadilika!
 
Hatari, bunge limeahirishwa mpaka kesho saa 3 asubuhi! Washakula posho ya leo!
 
Hivi mmeona kinachoendelea bungeni?! Yaani akisimama mpinzani kuuliza swali sauti haisikiki. Ila akisimama waziri, spika au mbunge wa ccm kuongea au kujibu sauti inasikika. TBC ni noma, duh!

Aisee ni kweli ...nimedhibitisha ilo muda huu hapa. Wenye asikiki na muda ule pia nili note kwa Mbatia. Bunge limeairishwa
 
Wajinga ndio waliwao.
Mtatumika sana, mkija fumbua macho mtakuwa mmeshaliwa mpaka mifupa!

Wala hatuna shaka, tumeanza na mashule, vyuo vikuu, mabenki ya Kiislaam sasa Mahakama ya kadhi, tartiiiibu wala hatuna haraka, pole pole ndiyo mwendo.
 
You are propelling youself out of point brother tena kwa makusudi.. weka chuki pembeni maana hata YESU MWENYEWE NA INJILI VIMESISITIZA UPENDO.
hayo makundi uliyoyataja hayana tofauti na IRGUN, NORTHEN IRELAND CATHOLIC MILITANTS,LORDS RESISTANCE AMY, ANT BARAKA na wengineo. sasa kwa sababu akili yako ni NDOOOOOOGOOOOOOO sana kiasi cha KUENDESHWA NA PROPAGANDA ZA INTERNATIONAL MEDIA HOUSES, naomba nikuache ila BOB MARLEY alishasema'' EMANCIPATE YOURSELVES FROM MENTAL SLAVERY.. AND NON BUT YOURSELF CAN FREE YOURMIND.

Acha kukariri ndugu!
Nina macho ya kuona, masikio ya kusikia, na ubongo wa kutafakari. Achana na international media unayoongea, uamsho na al shabab hapo kenya vyatoka wapi? Sio ishu za international media hapo!
pia mimi sina chuki mimi, ni nyie wachache wa imani yenu, kila kitu mnaleta dini, uzi wa bunge inakuaje mnaleta mambo ya 'sisi waislamu ni wengi, ............', pointi yenu iko wapi! Mnatakiwa nyie wachache mjitafakari.
 
Wala hatuna shaka, tumeanza na mashule, vyuo vikuu, mabenki ya Kiislaam sasa Mahakama ya kadhi, tartiiiibu wala hatuna haraka, pole pole ndiyo mwendo.

Ni habari njema hizo, hongereni! Ndo maendeleo yanatakiwa yaje kwa mtindo huu. Mahakama ya kadhi?? Tusubiri!!
Pia nakushukuru kwa kukubali kuwa mlikuwa mmechelewa! Ila wanasema,
It's never too late au better late than never!
 
wakristo linapokuja suala la kuhatarisha uhuru wao wa kuabudu, tofauti zao wanaziweka pembeni na kudai kile wanachoona ni sawa

Bwana hebu yaacheni nshu za din hum zanini hiini tz mambo ya mwislam,mkristo yawekeni pembeni woote letu moja Siwezi fanya jambo et kisa dini yangu fulani mzaziwangu atafanya lake nam langu
 
Mohamed Said wewe ni zaidi ya hapo. Ukweli unaujua dhahiri ndio kuhusu mgongano uliopo katika waumini wa kiislamu tofauti na hiyo ya wana maombi. Mfano mzuri ni mgogoro wa sheikh Ponda na kundi lake na msimamo wa Bakwata juu ya jambo hilo. Imefika mahali wengi wenu mmekataa kabisa kulitambua hilo baraza kama chombo chenu cha uwakilishi.
tumchukulie sheikh ponda kwa upande mmoja na METHODIUS KILAINI kwa upande mwingine. unataka kuniambia kama kesi ya ponda na msimamo tofauti walioonyesha waislamu juu ya kesi yake ni kielelzo cha waislamu kutokuwa wamoja... basi na ufisadi wa KILAINI na jinsi wakristo walivyo na mitazamo tofauti juu ya hilo nacho kichukuliwe kama kigezo cha wakristu kutokuwa wamoja???!!! akili toka makalioni bastard
 
Last edited by a moderator:
Kipindi cha maswali na majibu

Matangazo

Mswada wa Twakimu unaondolewa kwenye orodha ya shughuri za bunge, Serikali inataka kuurekebisha zaidi. Mswada wa kodi

Mh Wenje:
amesimama lakini Sauti imekatika.

Spika anasitisha shughuri za bunge hadi Kesho saa tatu Asubuhi

= shughuli
 
Back
Top Bottom