Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, January 27, 2015

Waislamu wepi? BAKWATA au Jumuia ya Uamsho? Au kundi gani lingine? Maana tujuavyo waislamu sio wamoja nchi hii na hata sikukuu za Idd kila mtu na siku yake.
je wakristo ni wamoja???
maana kuna wanaosali jumapili na wengine jumamosi..
kuna ambao makanisani wanalawiti watoto mabikira wa kiume huku wengine wakihubiri uokovu
kuna wa mataifa na walio okoka...
anyway hata ndani ya familia zetu hatuko wamoja na la msingi ni kwamba
ni muamvuli gani unawakusanya pamoja watu fulani??? hilo ndilo alilomaanisha FAIZA FOX
 
Hakuna chama kitashika madaraka Tanzania bila kura za Waislam walio wengi, hilo kumbuka.

Na sasa Waislam tutatumia nguvu yetu ya kura kushinikiza tuyatakayo. Atependa haya asiyependa haya, Waislam tukipiga kura ya NO usahau madaraka. Kumbuka hilo.

Kura za waislamu pia zitahitajika kwa yeyote atakayetaka kushinda kiti cha urais, ila kudai waislamu ni wengi, PLEASE, utakuwa unaota!! Tz bara, ni ukanda wa pwani ndo kuna waislamu, na Dar es salaam usiihesabie, imevamiwa na wakristo, bara mkoa wa Tabora ndo wa waislamu!! Huo ndo ukweli, katembee bara, usizeekee sehemu moja!
Tungekuwa tunasema hii nchi ni ya kikristo au kiislamu kwa kuangalia wingi, hii nchi ni ya Kikristo, utake usitake.
 
je wakristo ni wamoja???
maana kuna wanaosali jumapili na wengine jumamosi..
kuna ambao makanisani wanalawiti watoto mabikira wa kiume huku wengine wakihubiri uokovu
kuna wa mataifa na walio okoka...
anyway hata ndani ya familia zetu hatuko wamoja na la msingi ni kwamba
ni muamvuli gani unawakusanya pamoja watu fulani??? hilo ndilo alilomaanisha FAIZA FOX

Ulikuwa na point nzuri ila umechanganya na mambo mengine ambayo yatatupeleke ambako siko hivyo bora nisikujibu tuu.
 
je wakristo ni wamoja???
maana kuna wanaosali jumapili na wengine jumamosi..
kuna ambao makanisani wanalawiti watoto mabikira wa kiume huku wengine wakihubiri uokovu
kuna wa mataifa na walio okoka...
anyway hata ndani ya familia zetu hatuko wamoja na la msingi ni kwamba
ni muamvuli gani unawakusanya pamoja watu fulani??? hilo ndilo alilomaanisha FAIZA FOX

wakristo linapokuja suala la kuhatarisha uhuru wao wa kuabudu, tofauti zao wanaziweka pembeni na kudai kile wanachoona ni sawa
 
Huo ndo mtaji wako na siyo mambo ya tuchague mtu uliyoleta siku zile.
siku hizi hao waislamu wanajua kusoma na kuandika na kuhesabu? ie KKK.

Mtaji wetu. Kumbuka hilo. Kusoma kwako kote huipati ilmu aliyokuwa nayo mtoto wa miaka 7 wa Kiislaam, kumbuka hilo.
 
FaizaFoxy kumbuka nchi/ serikali yetu haina dini na Watanzania hatuna udini, watu tunapiga kura kuchagua viongozi wa kuongoza serikali na wala sio kuongoza makanisa, misikitini au masinagogi...suala la kupigiwa kura either mahakama ya kadhi iwepo au isiwepo huo tayari ni udini!

Huyu mbibi nimetambua kuwa ni sumu, kila mahali, lazima achafue hali ya hewa kwa kuanzisha mambo ya kidini.
Nafikiri ni ajuza fulani, na yuko dissapointed hatoweza shuhudia ndoto zake za imani yake zikitawala nchi, sasa ameamua kuongea pumba tu kila mahali.
Pia sijui ushawishi wake kwa mods uko vipi, kuna siku mtu alianzisha uzi kwenye picha wala hauna udini, akaja yeye akamwaga sumu kwa kudai unakashfu imani yake kisha akaanza kuwaomba mods wafute uzi, na mwisho wa siku uzi ulifutwa!!
 
Last edited by a moderator:
wakristo linapokuja suala la kuhatarisha uhuru wao wa kuabudu, tofauti zao wanaziweka pembeni na kudai kile wanachoona ni sawa
hilo labda kama wameliiga kwa waislamu.. kwa waislamu hilo limeamriwa na mungu. bila kuendeleza mabishano ndugu na hili ndilo nililloliongelea-MUAMVULI UNAOWAKUSANYA PAMOJA.
punguza muhemko na soma kwa makini uelewe
 
Bunge lenyewe upumbavu mtupu. Hamna sauti, namsikia wanaojibu maswali tu na spika!! Wanaouliza maswali wala hawasikiki, na ni saa na nusu iko hivyo, sasa sielewi utendaji kazi wa TBC uko vipi!
 
Noted mkuu!
Nikukumbushe labda nikukumbushe...unapomtukana mama wa mwenzio ni sawa ya kumtukana mama yako alokuzaa...hayo matusi kabla hujayatoa ungemuwaza mama yako na fikra ikakujia kuwa mamio kaumbwa kama alivyoumbwa FF...labda ungesita...hapa si mahala pa matusi humu ni mahala pa mijadala itakayosaidia watu kuelewana ili nchi yetu isonge mbele kwa amani...
 
hilo labda kama wameliiga kwa waislamu.. kwa waislamu hilo limeamriwa na mungu. bila kuendeleza mabishano ndugu na hili ndilo nililloliongelea-MUAMVULI UNAOWAKUSANYA PAMOJA.
punguza muhemko na soma kwa makini uelewe

Wameliiga kwa waislamu??? Excuse Me???
Ebu punguza muhemko na wewe, tumia kichwa cha juu kufikiri.
Ni mwamvuli upi huo unaosema? Al qaeda, boko haram, au uamsho? Mwamvuli upi huo?
 
Waislamu wepi? BAKWATA au Jumuia ya Uamsho? Au kundi gani lingine? Maana tujuavyo waislamu sio wamoja nchi hii na hata sikukuu za Idd kila mtu na siku yake.

Sheikh Abdallah Bawazir ametufanyia ihsani ya kutuandikia mukhtasari huo hapo chini:

Waliohudhuria katika mkutano huo jana kwa upande wa Masheikh walikua ni makundi mawili.

1. Bakwata
2. Kundi la taasisi 11 (Tampro, Baraza Kuu, Hay-at ...) na wengineo.

Makundi yote yalikua yana masheikh wazuri kwa elimu na amali na lengo lao lilikua ni moja la kutaka Waislam nchini wawe wana Mahakama ya Kadhi rasmi inayokubaliwa na Dola lakini walitofautiana katika mambo fulani katika muundo wa Mahakama hiyo.

Baadhi ya mambo hayo ni:
1. Ni nani mwenye haki ya kumuaini Kadhi
2. Nani atagharamia Mahakama hiyo.

Bakwata wanasema kuwa Mufti wao ndie mwenye haki ya kumuaini Kadhi kwa sababu yeye ndiye kiongozi mkuu wa nchi. Aidha Bakwata walimesema kwamba hapana haja ya Mahakama kuagharamiwa na Serikali bali Waislamu wanao uwezo huo.

Mkutano ulianza kwa Tamko la Mhsh. Jaji Robert Makaramba (Mkatoliki mwenye ujuzi mzuri pia wa Sharia ya Kiislaam kiasi chake) . Msemaji wa pili alikua ni upande wa Bakwata ambae ni Sh. Lolila Katibu Mkuu.

Ama Taasisi 11 (Nahli, Basuta, Dumti, IPC na nyengine zote) msemaji wao alikua ni Mwanasheria wa Hay-at (Yahya Njama). Baada ya hapo yalikuja matamko mengine kama tamko la msemaji wa Umoja Wa Wanasheria nchini.

Katika watu muhimu waliohudhuria ktk Kikao hicho ni Attorney General Mhsh. Masaju na baadhi ya Wabunge wa vyama tofauti. Hoja ambayo haikupata nafasi ktk kikao hicho na wajumbe wengi kuipinga ni kile kifungu kinachotaka Mufti wa Bakwata ndiye mwenye haki ya kumuaini Kadhi.

Kifungu hicho kilipingwa kwa hoja zifuatazo:
1. Mufti ni kiongozi wa Bakwata tu. Hana uwezo wa kuaini Kadhi kinyume cha Taasisi nyengine. 2. Tanzania tangu kujitawala leo ni nusu karne ktk kipindi hicho vijana wamesoma dini ktk nchi tofati wakapata elimu ya Sheria ya Kiislam kubwa na shahada. Vijana hao ndiyo muda huo wenye haki ya kuwa makadhi na kuunda bodi itakayokua na uwezo wa kumuaini Kadhi Mkuu na kuweka kanuni za kuendesha mahakama hiyo nchini, vipi Mufti wa Bakwata ataweza kuchukua jukumu hili.

Mwisho, mapokezi ya wenyeji wa mkutano huo walionyesha upendo na heshima kubwa kwa masheikh wetu na makaribisho yao yalikua mazuri mwanzo wa shughuli hadi mwisho.
Walilliahi lhamdu.

file:///C:/Users/yemen/Downloads/THE ISLAMIC LAW (RESTATEMENT) ACT BILL. KADHI.FINALdoc.pdf

file:///C:/Users/yemen/Downloads/The Kadhis Court Act No 03 of 1985.pdf

Chanzo: MAHAKAMA YA KADHI: BARAZA KUU YAWASILISHA MAPENDEKEZO YA WAISLAM KWA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA - Mohamed Said
 
Wajinga ndio waliwao.
Mtatumika sana, mkija fumbua macho mtakuwa mmeshaliwa mpaka mifupa!
 
Hakuna chama kitashika madaraka Tanzania bila kura za Waislam walio wengi, hilo kumbuka.

Na sasa Waislam tutatumia nguvu yetu ya kura kushinikiza tuyatakayo. Atependa haya asiyependa haya, Waislam tukipiga kura ya NO usahau madaraka. Kumbuka hilo.

Serikali haina dini, tusitishane kwa dini zetu; huku ni kufirisika na kuzeeka akili. Dini kitu gani bana! Wale wasio na dini unawasemeaje ambao ni wengi tu. Tuheshimiane dini huko huko makanisani na misikitini.
 
kuna kitabia mmekianzisha maswali yanapoulizwa mnabana sauti. hivi inawezekanaje sauti ya mawaziri na spika zisikike lakin za wauliza maswali zisisike. kwa style hii hamtafika popote zaid mtapotea kabisa. mkurugenzi ni very stupid, kwan kwenye uandishi wa habar hakuna code of ethics
 
tbc ilikuwa enzi za tido sasa ni idara ya uenezi ya ccm
 
Back
Top Bottom