The minister is talking rubish
Mwanasheria Mkuu wa Serikali anatoa ufafanuzi wa kisheria juu ya ugumu wa kujadili hoja ya Mbatia
Bunge lililopo limekuwa likidharau sana mahakama kwa kuamua kujadili mambo yaliyoko mahakamani.Hizo ni dharau za wazi kwa mahakama.Ushauri wangu ni kuwa wengi wa wabunge wataenda kugombea uchaguzi mwaka huu 2015.Baada ya uchaguzi wabunge wengi ushindi wao hupingwa mahakamani n.k Ninaomba mahakama zijiandae mkao wa kulipa kisasi ili kila mbunge aliyeko sasa akifunguliwa kesi au kufungua kesi kulalamikia matokeo au pingamizi n.k mahakama zihakikishe huyo mbunge aliyefungua kesi au kufunguliwa anashindwa kwenye hiyo kesi.
Na mbunge yeyote akiwa na kesi mahakamani mahakama zihakikishe zinampa ile maximum sentence ya hukumu
Hii ndio njia sahihi ya kuwashikisha adabu hawa wabunge waliopo hili bunge lisilo jali mahakama.
Ukweli mchungu hata kama unawaumaNa wewe ulivyo mpuuzi unaona mwanasheria anaongea Jambo la maana?!