senkoro mshana
Member
- Jul 5, 2013
- 27
- 2
mshkaji hujaeleweka kabisaaaa ulichoandika
yani lisu ni mzazi wa jengo ?
Kuna muda Tundu Lissu alitaka muongozo au alitaka kutoa taarifa, sikumbuki kipi kati ya hivi viwili, Spika akamwambia, "mwananguuuu, Tundu Lissu......", kisha akampotezea!! Lissu nae akatulia.
Watanzania wengi kujieleza ni taabu.
mshkaji hujaeleweka kabisaaaa ulichoandika
Amenikatisha tamaa. Ameniangusha. Anafuata njia ya Prof. Muhongo,Waziri Mjiuzulu wa Nishati na Madini. Anaongea uongo kwa msisitizo na kwa sauti ya juu. Hivi,CUF waliwasilisha barua yao Polisi tar. 26 mwezi huu? Na uongo mwingine.
Falsehood in this matter is neither trivial nor immaterial.Naendelea kulia hadi majadiliano yaishe Bungeni,Dodoma!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Maazimio kama yepi kwa mfano?bunge la leo lilikuwa la kipuuzi sana watu wamelia tu nilitegemea bunge litoke na maazimio lakini hamna kitu
Leo UKAWA wamepewa makavu live na wabunge wa ccm
Hivi tulishafikisha mabunge 19? Maana ukiangalia kwa uhai Wa JMT bunge hili linapaswa kuwa la 10 au 11! Hayo 19 umeyatoa wapi?