Yanayoendelea Uzini, Kampeni za CHADEMA-Picha

kumbuka kule ni kijijini.lakini pia population ya zbr ni ndogo sana.usisahau

samahani unaweza kutupatia idadi ya wanaotarajiwa kupiga kura kinumba kwa sababu zenji mbunge anaweza chaguliwa na watu chini ya 3000 na vijiji vinaweza kuwa 10
 
Jimbo lote wapiga kura wako kama 5,000 hivi. Hivyo haina ubaya!
 
Nimeongea na jamaa yangu kutoka Uzini, Unguja, alikuwepo kwenye mkutano wa Chadema kasema ni aibu bila kumungunya maneno watu waliofika walikuwa 28 tu.

Kina mama ndio wengi walikuwa 12 na watoto wao kiukweli Chadema walikuwa wakahutubiana wenyewe kwa wenyewe.

Tulishawaambia kuwa Zanzibar siyo Arusha.... kwanza walisha sema muungano una walakini sasa wameenda kufanya nini?
 
Nimeongea na jamaa yangu kutoka Uzini, Unguja, alikuwepo kwenye mkutano wa Chadema kasema ni aibu bila kumungunya maneno watu waliofika walikuwa 28 tu.

Kina mama ndio wengi walikuwa 12 na watoto wao kiukweli Chadema walikuwa wakahutubiana wenyewe kwa wenyewe.

attachment.php

Kitu ambacho huwa sikipendi kuongea kitu ambacho ni wongo ambao unapingana na ushahidi ulioanikwa wazi. Katika picha hii hapa tu ni kweli wanawake hawazidi 12? Thats illusion, can't be accepted.
 
kumbukeni wa znz wengi wamehamia bara, ccm na cuf wao husomba watu na kuwaleta kwenye mkutano!
 
Hivi kampeni huwa ni kwa muda gani? maana unaweza ukazunguka unguja nzima au pemba kwa siku MOJA na ukamaliza kampeni yako
 
awali walisema huko kwa Chadema hatii Muislam mguu sababu za KIDINI kundi lijitokeza wanasema watu ni wachache na siku ushindi ukipatikana watasema ni kura za Maruhani safari hii moto mnao mtasema kila msamiati ila ukweli utabaki palepale

Ritz sasa anza kuvua nguo tararibu na angalia njia za kupita timiza ahadi yako

- kwani hawa walio hudhuria hapa wote ni wapiga kura na wengine hawakujitokeza wakihofia kufukuzwa kazi zao ila siku ya kupiga kura kitaeleweka tu
 
Nimeongea na jamaa yangu kutoka Uzini, Unguja, alikuwepo kwenye mkutano wa Chadema kasema ni aibu bila kumungunya maneno watu waliofika walikuwa 28 tu.

Kina mama ndio wengi walikuwa 12 na watoto wao kiukweli Chadema walikuwa wakahutubiana wenyewe kwa wenyewe.
kama kawaida yako hujui kuhesabu anayekufundisha naye hajui sasa ukweli utaujuaje mkuu
 
Magwanda mkipata kiti cha Uzini, najifuta uanachama wa CCM na sitowatetea tena, lakini sijiungi na magwanda wala chama kingine chochote, naachana kabisa na unazi wa siasa za kijinga.

unazi wa siasa za kikenge!! Soma vizuri. This is what we have been talking all along. Sasa umejisema mwenyewe.
 
Kila kukicha kelele za Zanzibar ni nchi haziishi usishangae idadi ya maudhurio unaweza ambiwa ni zaidi ya nusu ya wapiga kura wa jimbo husika
 
Magwanda mkipata kiti cha Uzini, najifuta uanachama wa CCM na sitowatetea tena, lakini sijiungi na magwanda wala chama kingine chochote, naachana kabisa na unazi wa siasa za kijinga. Na ntaihama Tanzania kwa mara nyingine, maana itakuwa si nchi tena hii. Magwanda hawa magwanda? Unguja? Duhhhh! labda akiwa Zitto ndio Mwenyekiti.
nahisi kuna siri ipo kwa nini mnakula viapo kiasi hicho mfano;
  • ritz ameapa kutembea uchi na hatimaje kunywa sumu
  • Rejeo sikumbuki vizuri ila kuna kiapo kala kama si kuhama nchi basi atajiunga na Magwanda
  • wewe unaapa kuhama nchi baada ya kuachana na siasa

samahani unajua humu hajuani vizuri kwa majina halisi yawezekana upo tume ya uchaguzi na unajua mbunge/mwakilishi tayari ni nani. kwa nini mnakula viapo ni kututishia nini
 
Nimeongea na jamaa yangu kutoka Uzini, Unguja, alikuwepo kwenye mkutano wa Chadema kasema ni aibu bila kumungunya maneno watu waliofika walikuwa 28 tu.

Kina mama ndio wengi walikuwa 12 na watoto wao kiukweli Chadema walikuwa wakahutubiana wenyewe kwa wenyewe.
Anza kufanya mazoezi ya kutembea uchi. Watu 28 si haba. Wewe ulisema hawatafika hata wawili.
 
nahisi kuna siri ipo kwa nini mnakula viapo kiasi hicho mfano;
  • ritz ameapa kutembea uchi na hatimaje kunywa sumu
  • Rejeo sikumbuki vizuri ila kuna kiapo kala kama si kuhama nchi basi atajiunga na Magwanda
  • wewe unaapa kuhama nchi baada ya kuachana na siasa

samahani unajua humu hajuani vizuri kwa majina halisi yawezekana upo tume ya uchaguzi na unajua mbunge/mwakilishi tayari ni nani. kwa nini mnakula viapo ni kututishia nini
Wahame ti. Hawa watu wametawaliwa na sumu ya udini. Wahame!
 
Uchaguzi wa 2010 jimbo ambalo CHADEMA ilipata kura nyingi kwa Zanzibar yote ni Jimbo la Kiwani lililopo Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba, Shehia ya Mwambe, kura zilikua 400. Na kura hizi zote zilitoka katika kijiji kimoja cha Kiunga ambapo mgombea wake ni mfanyabiashara, katika kupata kura hizi mgombea huyo alitumia zaidi ya mil. 8 Tsh. Na sababu iyomfanya apate kura hizi; alitaka kumtia adabu mgombea wa CUF baada ya mgombea huyo wa CUF kukumbwa na kashfa ya kutembea na (.......). Ndipo mgombea huyo wa CHADEMA akaamua kumwaga pesa kwa tamaa ya kujinyakulia jimbo na badala yake alilia kilio cha mbwa na hadi leo hii hakupata wa kumnyamazisha! Huku Zanzibar hakuna CHADEMA wala CHAMSHIPI, na fujo zote hizo wanazozifanya na huku wakipigwa na baridi (nasikia wamejenga mahema kama vibarua wa karafuu) hawatozidi kura 32, tusubirini Aibu ya mwaka!
 
Back
Top Bottom