Yanayoendelea Uzini, Kampeni za CHADEMA-Picha

picha zinaonyesha mambo yalikuwa magumu kwa chadema. Hizi sio aina ya picha nilizozoea kuona hapa Jf kutoka kwenye mikutano ya chadema
 
Wengine wanakurupuka tu kuandika na kubeza mahudhurio ya CDM huko Uzini wala hawajawahi kufika huko ZNZ,jamani kule watu wanajuana kila mmoja na hii ni kutokana na watu ni wachache sana,msiongee tu kwa kuleta ubishi usiokuwa na tija,tena hata hao Magamba mnazidi kuwapumbaza kwa kuwapa sifa ambazo si zao,lakini pia msiongee bila kujua hulka za watu wa ZNZ,na tabia zao zilivyo hapo huenda hata Magamba wamejitahidi sana kuzuia watu wasihudhurie mkutano huo na wengine hata kutishiwa kupoteza kazi,huenda masheha nao wamefanya kazi,lakini pamoja na hayo watu wamejitokeza,kwa mimi ninavyoijua ZNZ huko Uzini hapo naona wamehudhuria wengi,na tusubiri sanduku la kura.
 
Teh teh teh mkuu hata Hamad Rashid leo baada ya kukosa watu kasema Viongozi wa CUF wamewazuia watu wasiende mkutanoni kwake!
 
Heri wao walioenda, pole pole
Wataongezeka sehem yenyew c
mnaiona! Ni sehem duni wenyeji
wako hoi
 
Watetezi wa nchi! Kaza buti wataelewa tu somo, madam hatufukuzwi na mtu Ukweli utawanogea wenyewe watasema Yeheeee Mimi ni CDM yahe!!!!!! Hawa mdebwedo wa FUC mbona wanavuana magamba kama wale wa MCC? Yaheee naamia MADECHA mie
 
Kuna watu hapa kama Rejao, ritz na FF, CDM muwe mnanukuu maneno yao may be ni UWT au ni wausika wa Tume ya uchaguzi kumbukeni Igunga walisema maneno haya haya na propaganda za chuki dhidi yenu na kweli mlishindwa sasa kwenye hii thread wameshaapa tiari kuwa hampati kitu ila nyie bado maneno tuu no action ya ushindi mnayoionyesha pia mnatoa siri zenu sana na ndio maana ni rahisi watu kuwalobby hizo strategies zenu jaribuni mzihide kidogo sio kila kitu mnakimbilia kukianika hapa JF

Ni mawazo.
 
Nasubiri magamba yatakavyobeba watu kutoka kila kona ili kuwahadaaa wana wa Uzini. Yaani hapo tu ndiyo huwa nachoka na magamba kwa siasa za akina Carl Peters.
 
Naapa kwa jina la Mungu, mimi nikiwa kama Muislamu ambaye naamini Mungu Mmoja ambaye Hakuzaa wala Hakuzaliwa na wala hakuna yeyote mfano Wake, mimi sina uhusiano wowote na watajwa wa hapo juu na pia siwajui kabisaaaaaa! Kazi kwenu sasa.

Bali unaamini maneno ya aliyebakwa na kubaka
 
IMG_3921.JPG
IMG_3902.JPG
IMG_3906.JPG

INGIA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Picha
 
Yaani huo ndio uzinduzi wa kampeni?

Mkuu mimi nilikuwepo, hebu unajua jimbo la uzini lina wapiga kura wangapi? Hawazidi 3000, yaani ni kama kata moja, lakini hapa palikuwa na msiba, hivyo maudhurio yalikuwa mazuri, kwa harakaharaka watu wake hawakupungua 1500, sasa ndg yangu unabeza kitu gani?
 
UCHAGUZI MKUU 2010 UZINI: AFP 14=0.2%, CCM
7158=89.9%, CUF 731,
JAHAZI 29=0.3%, NCCR-
MAGEUZI 7=0.1, NRA
8=0.1%, TADEA 12=0.2% www.zenjfm.bogspot.com
 
Uchaguzi wa 2010 jimbo ambalo CHADEMA ilipata kura nyingi kwa Zanzibar yote ni Jimbo la Kiwani lililopo Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba, Shehia ya Mwambe, kura zilikua 400. Na kura hizi zote zilitoka katika kijiji kimoja cha Kiunga ambapo mgombea wake ni mfanyabiashara, katika kupata kura hizi mgombea huyo alitumia zaidi ya mil. 8 Tsh. Na sababu iyomfanya apate kura hizi; alitaka kumtia adabu mgombea wa CUF baada ya mgombea huyo wa CUF kukumbwa na kashfa ya kutembea na (.......). Ndipo mgombea huyo wa CHADEMA akaamua kumwaga pesa kwa tamaa ya kujinyakulia jimbo na badala yake alilia kilio cha mbwa na hadi leo hii hakupata wa kumnyamazisha! Huku Zanzibar hakuna CHADEMA wala CHAMSHIPI, na fujo zote hizo wanazozifanya na huku wakipigwa na baridi (nasikia wamejenga mahema kama vibarua wa karafuu) hawatozidi kura 32, tusubirini Aibu ya mwaka!

Bila shaka wewe unasapoti kile chama cha mke!
 
slaa.JPG Baada ya Idadi ya watu kuwa ndogo.....Mbowe na Slaa wakaamua kuwa part ya hadhira ili kujazia jazia nafasi!!! Kwa Zanzibar safari ya CDM bado ndefu sana!!!
 
Back
Top Bottom