Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,720
- 2,393
Teh teh teh.. hatari sana chief

Huwezi kurudisha nyuma wakati ili uweze kufanya marekebisho kwa makosa uliyoyafanya!Nadhani anajuta sana sasa hivi.
Mmoja kati ya watu wajinga ni huyu dogo. Alidhani ujinga is all about paramount. Well, it's when the man launch the so called goli la mkono. Fine bana mdogo, lakini kumbuka ujinga na upumbavu wa hivyo ni an interim certificate. Finally na nadhani; leo ukiulizwa you have more attention regards to your country. All the best bana Nape.
Mwache ajifunze kutokana na makosa...Huwezi kurudisha nyuma wakati ili uweze kufanya marekebisho kwa makosa uliyoyafanya!
Nape alishawahi sema Lowassa in maiti haiwezi kuingia ikulu. Leo Lowassa amekuwa shujaa wa Nape..???
Wanasiasa hawatatuletea maendeleo zaidi ya chuki tuu. Maendeleo huletwa na wewe mwenyewe