meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
Kiapo cha utii kwa Rais
unajua ukisha kuwa chronic ya majukwaa na baadae ukayakosa huachi kuweweseka..kwa hiyo hii ya nape ni arrosto ya kukosa majukwaa ya kuhutubiaNape alishawahi sema Lowassa in maiti haiwezi kuingia ikulu. Leo Lowassa amekuwa shujaa wa Nape..???
Wanasiasa hawatatuletea maendeleo zaidi ya chuki tuu. Maendeleo huletwa na wewe mwenyewe
View attachment 594216
View attachment 594217
View attachment 594218
Katika ukurasa wake wa Insta Nape Nnauye ameandika haya. Pia ameweka picha akiwa na Lowasa akisema historia ni mwalimu mzuri.
Ujumbe mkubwa alioutoa Nape ni kusema " Ushetani huanzia pale unapowafanya watu kama vitu'
Kwani ni kweli anaweza kuingia Ikulu?Nape alishawahi sema Lowassa in maiti haiwezi kuingia ikulu. Leo Lowassa amekuwa shujaa wa Nape..???
Wanasiasa hawatatuletea maendeleo zaidi ya chuki tuu. Maendeleo huletwa na wewe mwenyewe
Mkuu katika dini ya kikristo mtenda dhambi hata atende dhambi nyekundu kama damu, kama ata uona ukweli na kutubu dhambi zake zitasafishwa na kuwa nyeupe kama theluji. Jee kuna ubaya gani katika siasa ambayo mambo hayo ni madogo kwa mtu kuujua ukweli na kuunena? Kwani nini itikadi za kisiasa tuzifanye kama dhambi isiyo sameheka?Kwa bahati mbaya sana Nape hakuyaona hayo alipokua katika meza ya karamu ya bwana. Alizurura nchi nzima akimtukana Lowasa leo limegeukia kwake anajifanya mpenda maendeleo. Hatari sana unafiki hautamuacha mtu
Ngosha ndiyo jitu gani ?Huyu Nape kachooka sana amepoteza mvuto, na 2020 ubunge hana huyu lazima arudi mtaani chezea ngosha wewe.
Nape yuko sawa mwenye matatizo yule mropokaji yule ndio yule nadhani unamjuaNape wa kuombea. Ana matatizo makubwa kiakili
Hata Sauli kwa wale wakristo wa awali aliokuwa akiwapiga na kuwauwa hawakuamini pale Kristo alipombadili Sauli na kuwa Mtume Paulo.Nape na bao LA mkono, Nape '' Lowasa mgonjwa hafai Ikulu, Nape '' Lowasa huwezi kkwenda Ikulu kwa kununua wanaCCM, Nape '' Lowasa mgonjwa, Nape '' Lowasa Fisadi Nape you are no longer politician you are finished , Ila nikukumbushe tu sikio halizidi kichwa