Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,198
- 3,599
Nape imebaki stori
Nape imebaki stori
Hatutangazi dini hapa tunatangaza ukweli. Hata katika dini sharti utubu uonyeshe umetubu lakini Nape hajatubu. Biblia hiyo ya wewe mkristu lazima itakuambia utubu ili uuone ufalme wa mbingu. Nape hawezi maana hajazitubu dhambi zake na udhalimu aliouunga mkono huko nyuma. Damu za kina mwangosi na wengine zimo mikononi mwake pia. Huyu anachotafuta hapa ni sympathy ya watu kama ninyi mnaosahau nini kilitokea huko nyuma. Bashe ni ccm na ni mtu pekee ambaye ni mkweli wengine ni vibwengo tuMkuu katika dini ya kikristo mtenda dhambi hata atende dhambi nyekundu kama damu, kama ata uona ukweli na kutubu dhambi zake zitasafishwa na kuwa nyeupe kama theluji. Jee kuna ubaya gani katika siasa ambayo mambo hayo ni madogo kwa mtu kuujua ukweli na kuunena? Kwani nini itikadi za kisiasa tuzifanye kama dhambi isiyo sameheka?
Mbona kina Mpendazoe mnao huko ccm na walisema mengi kuhusu ccm kwa vipindi tofauti? Mwacheni Nape ambaye ni BORN AGAIN POLITICIAN atiririke ajisikiavyo sasa. Siasa sio kabisa kuwa halibadiliki, maana huwezi kuzaliwa Mmakonde eti ukabadili kabisa kuwa mkwere! Au Mchaga.
Sukari bei gani?Tuko na magufuli
Tena wapo watu timamu na wanaweza kuliko wale waliofanya siasa ni kazi ya kudumu.Siasa wanaiweza wanasiasa lakini pia hata wale wanaoamua kuingia kwenye siasa wakiwa na dhamira ya dhati wataiweza pia
Siasa ni taaluma ngumu kuliko zote,kwani licha ya mikakati yake kupangwa gizani lakini ufanisi wake unatakiwa machoni pa watu.Namaanisha kuwa na mpangilio wa matamshi na vitendo utakaokuwezesha ku influence kundi kubwa la watu.Siasa wanaiweza wanasiasa lakini pia hata wale wanaoamua kuingia kwenye siasa wakiwa na dhamira ya dhati wataiweza pia
Kauli hii ya Nape wewe unaichukuliaje?Hatutangazi dini hapa tunatangaza ukweli. Hata katika dini sharti utubu uonyeshe umetubu lakini Nape hajatubu. Biblia hiyo ya wewe mkristu lazima itakuambia utubu ili uuone ufalme wa mbingu. Nape hawezi maana hajazitubu dhambi zake na udhalimu aliouunga mkono huko nyuma. Damu za kina mwangosi na wengine zimo mikononi mwake pia. Huyu anachotafuta hapa ni sympathy ya watu kama ninyi mnaosahau nini kilitokea huko nyuma. Bashe ni ccm na ni mtu pekee ambaye ni mkweli wengine ni vibwengo tu
Wengi wanampamba ni kwa ukabila tu lkn ni mtu ambaye hafai hata kuwa kiongozi wa kitongojiIla kiukweli huyu mzee anakera sana,na anahitaji roho ngumu sana tena ya kizandiki kumkubali!!
Siri ya mtungi ajuaee kata .Nape ni Kata ya huu mtungi .haya madongo ni ya muhimu sana kuzingatiwa maana ndio ukweli wa siri za mtungini .eeehhe Mungu tusaidie majanga haya tuyapite tukiwa salama.AminaView attachment 594216
View attachment 594217
View attachment 594218
Katika ukurasa wake wa Insta Nape Nnauye ameandika haya. Pia ameweka picha akiwa na Lowasa akisema historia ni mwalimu mzuri.
Ujumbe mkubwa alioutoa Nape ni kusema " Ushetani huanzia pale unapowafanya watu kama vitu'
Haijalishi kwani alikuwa hajui alitendalo kama ni ovyu .ila sasa ametambua na anajirudi ndivyo tulivyo binadamu na kwa Mungu kwake ni mwingi wa kusamehe .kwahiyo hatuna budi nasi kumsameheeNape alishawahi sema Lowassa in maiti haiwezi kuingia ikulu. Leo Lowassa amekuwa shujaa wa Nape..???
Wanasiasa hawatatuletea maendeleo zaidi ya chuki tuu. Maendeleo huletwa na wewe mwenyewe
Wewe kweli msahaulifu muulize mbona aliendelea nao mpaka baada ya uchaguzi? Hivi ninyi watu mnashindwa kujua kuwa ccm wote wanaonyimwa nafasi walizozitaka ndiyo wanakua wa kwanza kutetea wapinzani ama kujiunga na upinzani? Lowasa asingekua cdm kama angefanikiwa kupewa nafasi na ccm. Nape hasira ya kutemwa uwaziri anajifanya yupo na kina Lissu aliokua anawapinga. Sympathy tu huyu anatafutsKauli hii ya Nape wewe unaichukuliaje?
"Tulikuwa tunamwita mzee wa watu mgonjwa, lakini pengine sisi ndio tulikuwa na mgonjwa zaidi".
Au hii hapa.
" Siasa ni kuparurana, wakati wa uchaguzi tuliparurana na yamepita hayo hamna haja ya kuchukiana"
Ni wazi anaomba msamaha kisiasa, na hawezi kwenda zaidi ya hapo.