Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

Huyu mleta mada ndio wale watu waliokubuhu kwenye majungu na huenda ni Mwalimu. Mnyororo wa Ujenzi unahusisha MAHANDISI ambae huandaa BOQ, PMU Kufanya manunuzi kadri mhandisi alivyoelekeza, Wakuu wa Shule na Wenyeviti wa Kamati za Ujenzi, Watendaji wa Kata na Vijiji vyenye mradi husika woooote wanakaa meza moja kupokea mgao wa manunuzi kama yalivyofanywa na PMU. Sasa hapo REO au DEO anaingia wapi? Tuache kutumia JF kuchafua wenzetu na Members wa JF wa aina hiii mngekuwa mnapigwa LIFE BAN ili muendekeze majungu kwenye familia zenu tu.
Mjumbe BOQ inaandaliwa tu (kwa kupendekeza vifaa tu) halafu inakabidhiwa shuleni moja kwa moja habari ya bei manunuzi sijui takataka gani zote itajua kamati yenyewe (ambapo kamati yenyewe ni Mwl Mkuu kama mwenyekiti, Mwalimu wa ujenzi kama katibu na wajumbe wengine kutoka kwenye kamati ya shule)

Mwalimu mkuu na Mwalimu wake wa ujenzi ndo watafanya quotation za bei madukani, kwa mafundi seremala na kila kitu mfano mawe mchanga kokoto nk kwa kusaidiana na wajumbe wao

Kichekesho zaidi viongozi wa serikali ya kijiji au kata wanaingia kama wadau tu kwenye kamati hizo lakini kuna 20% ya nguvu ya jamii ambayo Mwalimu Mkuu analazimika kumfuata boss wa kijiji ili aipate wakati huo huyo boss hajapewa mamlaka yoyote kwenye kamati za shule (kamati ya ujenzi ya manunuzi na ya mapokezi)

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Habarini wapenda maendeleo. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa ufupi tu mimi ni mdau katika maendeleo ya nchi yetu na nimekuwa ziarani katika mikoa mbali mbali ya tanzania nakuona muamko wa wadau mbali mbali katika ujenzi wa vituo vya afya na ujenzi wa madarasa katika nchi yetu.Kwahiyo nilifanya ziara kwenye baaadhi ya mikoa ilioko Kaskazini na Kusini.

Nakote nilikotembea nilipata ushirikiano mzuri.
Nitaeleza kila nilioyaona kwenye kila kanda kwa ujumla.

KANDA YA KASKAZINI.
Nimebahatika kupita katika mikoa ya Arusha Kilimanjaro.Wamejitahidi sana katika matumizi ya pesa hizi zilizotolewa kwani ujenzi unaendelea vizuri. Na majengo ya shule na zahanati vimefikia kwenye upauaji na baadhi kwenye renta.Huko wasimamizi wakuu wamepewa wananchi wasimamie(bodi za shule)Zisimamie ujenzi, na ujenzi umeenda vizuri bila tatizo ingawa kuna changamoto za hapa na pale.Hizi hszikosekani ni lakini ni mikoa ambayo wamejitahid sana kwa matumizi sahihi pesa hizi.

KANDA YA KATI KUSINI.
Nimetembelea mikoa mitatu yaaani Songwe Njombe na Mbeya. Mbeya na njombe wamejitahidi sana ila mkoa Wa Songwe kumekuwa na ukiritimba sana na kuna baadhi ya wilaya nimepita kama ya Songwe vile kama ntakuwa sijasahau ujenzi bado haujaanza kabisa na sijui tatizo nini?!

Kama nilivyosema mkoa unaukiritimba kwa sababu ya mtu mmoja anaeitwa REO kaponda, huyu jamaaa amekuwa mvurugaji mkubwa na sijajua kwanini tamisemi na wizara ya elimu inamuacha aendeleee kuwepo pale. Amezinyima bodi za shule makali katika maaamuzi yote na amezifanya wenyewe kuwa watazamaji. Wakati wenyewe ndo wawakilishi wa wananchi. Amewapa wakuu wa shule au waalimu wakuu mamlaka kutoa pesa kwenye akaunti bila kuwa questioned.

Hii imepelekea wakuu wengi na waalimu wakuu kutafuta mafundi wasiofaaa. Na hivyo kusababisha ujenzi kutoenda kama unavyotakiwa nasikia amesisitiza pesa zibaki na akumbukwe kwenye mgawo wa hayo mabaki. Tatizo ninaliona hapa ni kutengenzwa vitu chini ya kiwango ambavyo vitakavyoDumu kwa muda mfupi, uwezi ukampa usimamizi wa miradi mtu ambae anatoka Tanga kuja kusimamia mradi songwe lazima aharibu tuuu. Wape wananchi (Bodi) wasimamie.

Waziri mwenye dhamana njooo Wilaya Songwe uone watu wanavyoishia kulipana posho na kuishia kutafuta 10 katika manunuzi ya vitu.

Wakuu wa shule wengi wamekuwa ni wapenda sana kama watu wengine lkn wenyewe wameamua kuiba.ikumbukwe wilaya hiii wananchi wanachangia tofali, mchanga, maji pia wanaleta, kwahiyo kuna pesa nyingi sana itakaobaki pia wanachi wamepangia utaratibu kujafanya kazi pindi ujenzi utakapoanza,ndio maana kaponda akashauri zitakapobaki agawiwe na yeye. Kazi kwenu.waziri tamisemi fika huko uone madudu yanayoendelea
Mkuu umemlenga huyo REO wenu Kaponda. Si useme tu?
 
Pesa zilizotengwa 20 milioni kwa kila darasa ni hela ndogo kwa kujenga darasa lenye ubora unaostahili.

Kuna pesa zilitolewa na wafadhili kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya watoto wenye mahitaji maalum na darasa moja liligharimu milioni 30 na kweli madarasa yaliyojengwa ni ya kiwango kabisa, True value for money.

Milioni 20 ujenge, uweke hadi mambo ya umeme, madawati na gharama ya maji na maeneo mengi maji ni changamoto kubwa haiwezi kutosha labda darasa liwe ni haya ya kulipua lipua kama haya yaliyaliyopo sasa hivi.

Tatizo serikali inataka mwisho wa siku pesa hii tuliyokopeshwa na IMF ifanye mengi kwa pamoja eti bila kuathiri ubora kitu ambacho hakiwezekani.
Quantity must compromise quality whether they like it or not.
Wewe utakuwa ni mwalimu mkuu wa shule za msingi za songwe.
 
Huyu mleta mada ndio wale watu waliokubuhu kwenye majungu na huenda ni Mwalimu. Mnyororo wa Ujenzi unahusisha MAHANDISI ambae huandaa BOQ, PMU Kufanya manunuzi kadri mhandisi alivyoelekeza, Wakuu wa Shule na Wenyeviti wa Kamati za Ujenzi, Watendaji wa Kata na Vijiji vyenye mradi husika woooote wanakaa meza moja kupokea mgao wa manunuzi kama yalivyofanywa na PMU. Sasa hapo REO au DEO anaingia wapi? Tuache kutumia JF kuchafua wenzetu na Members wa JF wa aina hiii mngekuwa mnapigwa LIFE BAN ili muendekeze majungu kwenye familia zenu tu.
Utaratibu huu haupo labda upo kwenu
 
Mjumbe BOQ inaandaliwa tu (kwa kupendekeza vifaa tu) halafu inakabidhiwa shuleni moja kwa moja habari ya bei manunuzi sijui takataka gani zote itajua kamati yenyewe (ambapo kamati yenyewe ni Mwl Mkuu kama mwenyekiti, Mwalimu wa ujenzi kama katibu na wajumbe wengine kutoka kwenye kamati ya shule)

Mwalimu mkuu na Mwalimu wake wa ujenzi ndo watafanya quotation za bei madukani, kwa mafundi seremala na kila kitu mfano mawe mchanga kokoto nk kwa kusaidiana na wajumbe wao

Kichekesho zaidi viongozi wa serikali ya kijiji au kata wanaingia kama wadau tu kwenye kamati hizo lakini kuna 20% ya nguvu ya jamii ambayo Mwalimu Mkuu analazimika kumfuata boss wa kijiji ili aipate wakati huo huyo boss hajapewa mamlaka yoyote kwenye kamati za shule (kamati ya ujenzi ya manunuzi na ya mapokezi)

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Haya ndo kayaongea kaponda nami nimeyawakilisha bodi haina nguvu nguvu kapewa msimamizi mkuu wa kituo yaaani yeye ndo mununuzi wavifaaa msafirishaji yeye namuweka stooo yeye na mgawia mafundi yeye shida iko hapo.Na kasisitiza akumbukwe kwenye mgao wa pesa itakayobaki.
 
Back
Top Bottom