Yanayoendelea Bongo, yamenifanya nimkumbuke Captain Tesha

Kwa taarifa nilizonazo yule bwana ni mlevi ndio maana ilikua Rais kudanganyika na wanaharakati na pia ni depo za kujuana Juana toka mtaani Moja kwa koma Monduli pamoja na kuwadanganya Watanzania bado wanamuona shujaa mpaka Leo hajarudi kuwatetea chadema.
 
Kwa taarifa nilizonazo yule bwana ni mlevi ndio maana ilikua Rais kudanganyika na wanaharakati na pia ni depo za kujuana Juana toka mtaani Moja kwa koma Monduli pamoja na kuwadanganya Watanzania bado wanamuona shujaa mpaka Leo hajarudi kuwatetea chadema
Unaamini mwanajeshi anaweza kupindua serikali kwa kujirekodi? Au kutisha maboss wake kwa kujirekodi wakati anasilaha
Watanzania wengi akili hawana wanapenda kuamini ujinga hivi Mapinduzi unatangaza kwenye kichumba kidogo kama kile baada ya kuteka kituo cha redio cha Taifa.
 
Kwa taarifa nilizonazo yule bwana ni mlevi ndio maana ilikua Rais kudanganyika na wanaharakati na pia ni depo za kujuana Juana toka mtaani Moja kwa koma Monduli pamoja na kuwadanganya Watanzania bado wanamuona shujaa mpaka Leo hajarudi kuwatetea chadema.
Ok
 
Unaamini mwanajeshi anaweza kupindua serikali kwa kujirekodi? Au kutisha maboss wake kwa kujirekodi wakati anasilaha
Kijana una umri gani? Inaonekana bado ni mtoto mdogo na haujawahi kusoma historia ya mapinduzi yoyote.

Mapinduzi hayaanzi tu ghafla, lazima kuwe na upandaji mbegu kwenye akili na mioyo ya watu.
 
Hakika nimemkumbuka sana huyu Mwamba kutokana na yanayoendelea kwani alikuwa mbele ya muda kwa kuona hatari iliyokuwa mbele yetu

Najiuliza yuko wapi huyu Mwamba au wameshapitanae?

Mwamba alikuwa mzalendo sana.
Kwa taarifa yako, Kepten Tesha ikuwa ni project ya waliomteka Polepole. Angalia zile picha za chumba ambacho Polepole alikuwa anatumia kuongelea, then linganisha na ile meza na background ya Kepteni Tesha. Zina ufanano.

Pili kumbuka script aliyokuwa anaisoma Tesha, halafu linganisha na maudhui ya Polepole aliyokuwa anaongea. Ni mwandiko wa Polepole.
Kepteni Tesha aliongea tarehe 4/10 na Polepole alinyakuliwa tarehe 6/10, na hatujamsikia Kepteni Tesha tena. Wala JWTZ halijawahi kumkataa wala kumkanusha, na hata ndugu zake hawajawahi kumtafuta kama wanavyomtafuta Soka au Polepole au Mwaipaya. Ki intelligentsia inaitwa DECOY

Watekaji walimtengenezea mtego Polepole kupitia Kepteni Tesha kama panya anavyotegwa kwa mfupa wa samaki, kisha Polepole akaingia mazima
 
Mmmmhhh
 
Mitanzania mingi mazuzu
 
Hakika nimemkumbuka sana huyu Mwamba kutokana na yanayoendelea kwani alikuwa mbele ya muda kwa kuona hatari iliyokuwa mbele yetu

Najiuliza yuko wapi huyu Mwamba au wameshapitanae?

Mwamba alikuwa mzalendo sana.
Mzalendo wa Maneno?mbona wako wengi sana huku JF.Hata wewe kwa maneno ni mzalendo ila ukipewa hata ukatibu kata tutakukoma.Tuachegee hizi mambo bwana.Tuwe serious na nchi yetu.Yule alikuwa coward kama cowards wengine.
 
Kwa taarifa yako, Kepten Tesha ikuwa ni project ya waliomteka Polepole. Angalia zile picha za chumba ambacho Polepole alikuwa anatumia kuongelea, then linganisha na ile meza na background ya Kepteni Tesha. Zina ufanano.

Pili kumbuka script aliyokuwa anaisoma Tesha, halafu linganisha na maudhui ya Polepole aliyokuwa anaongea. Ni mwandiko wa Polepole.
Kepteni Tesha aliongea tarehe 4/10 na Polepole alinyakuliwa tarehe 6/10, na hatujamsikia Kepteni Tesha tena. Wala JWTZ halijawahi kumkataa wala kumkanusha, na hata ndugu zake hawajawahi kumtafuta kama wanavyomtafuta Soka au Polepole au Mwaipaya. Ki intelligentsia inaitwa DECOY

Watekaji walimtengenezea mtego Polepole kupitia Kepteni Tesha kama panya anavyotegwa kwa mfupa wa samaki, kisha Polepole akaingia mazima

Una hoja
 
We jamaa kuna kitu unacho kabisa, tena kikubwa!
 
Back
Top Bottom