Kwa taarifa yako, Kepten Tesha ikuwa ni project ya waliomteka Polepole. Angalia zile picha za chumba ambacho Polepole alikuwa anatumia kuongelea, then linganisha na ile meza na background ya Kepteni Tesha. Zina ufanano.
Pili kumbuka script aliyokuwa anaisoma Tesha, halafu linganisha na maudhui ya Polepole aliyokuwa anaongea. Ni mwandiko wa Polepole.
Kepteni Tesha aliongea tarehe 4/10 na Polepole alinyakuliwa tarehe 6/10, na hatujamsikia Kepteni Tesha tena. Wala JWTZ halijawahi kumkataa wala kumkanusha, na hata ndugu zake hawajawahi kumtafuta kama wanavyomtafuta Soka au Polepole au Mwaipaya. Ki intelligentsia inaitwa DECOY
Watekaji walimtengenezea mtego Polepole kupitia Kepteni Tesha kama panya anavyotegwa kwa mfupa wa samaki, kisha Polepole akaingia mazima