captain tesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 100 others

    JamiiForums Tanzania Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa si project ya Night walk ya Wana usalama Kama Baadhi Ya Member Wanavyopotosha

    Kuna huu uzi nimesoma. https://www.jamiiforums.com/threads/je-captain-tesha-habil-na-kabil-ilikuwa-project-ya-night-walk-ya-wana-usalama.2437201/page-2 Nimeona jinsi baadhi ya wadau wanavyopotosha , wakihalalisha maoni yao kana kwamba ni facts, kitu ambacho si kweli. Naomba nijibu kama...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je Captain Tesha, Habil na Kabil ilikuwa project ya Night walk ya Wana usalama?

    Hamjambo! Bado nipo njia panda, Namkumbuka Captain Tesha, utulivu wake, Maneno yake, na body language yake, kisha baadaye tukuo la sauti kuvuja za kina Mafwele na kikao chao. Baadaye kabisa baada ya MO29 anazuka Mhusika Mwingine, machachari, unknown Character, anapata umaarufu mkubwa bila sura...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Video: Gen Z akiwatafuta JW wa Captain Tesha Siku ya MO29 ilikuwa noma

  4. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe CDF alikubali ombi la barua ya Captain Tesha na wenzake

    https://youtu.be/nirLti-Vxt0?si=a_hn41CAuu1SUE0m
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Captain Tesha awaacha watanzania kwenye mataa

    Jamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya. Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali? Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi? Kabadili maamuzi kwa mapenzi yake? Au alikuwa anatafuta umaarufu (attention seeker)?
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku alimkataa Cap Tesha sababu ya ndevu. Haya sasa huyu hapa Mwanajeshi Mzanzibar mwenye ndevu

    Ukiitazama hii video, Wanajeshi wetu wote hawana NDEVU!!. Ila huyu kwanza ana Ndevu ,alafu ni yeye pekeake aliyevaa kitofauti na wenzie . .
  7. R

    JamiiForums Tanzania Captain Tesha alisema atarudi, sijui meishia wapi? Au alikuja kupata maoni ya watu

    Nilitegemea mpaka muda huu awe amerudi kukamilisha majukumu aliyoyatangaza. Kulikoni? Naona double double...Duble Duble!
  8. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sayansi ya vita na coup d'etat. Swali kwenu

    Kwema? Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi? Kwanini Captain Tesha alionya polisi watakazuia waandamanaji kuwa watakuja kuulizwa hapo baadaye? Lengo lake hasa la kutoka hadharani ni lipi...
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Captain Tesha anaweza kuwa anafanya kazi kambi ya jeshi la anga hapa airport ya Mwalimu Nyerere

    Kwa wale wataalam wa ruti za Dar ukitoka Tazara, kuelekea Airport ya Mwalimu Nyerere, unakutana na kambi ya Jeshi la Anga (Airwing) kabla hujafika Mamlaka ya Anga pale Banana jamaa anaweza akawa yuko zake pale.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini watu wataanza kujilinda kwa Silaha za kuunda majumbani

    Serikali yetu inapenda kukana Tatizo kuwa halipo. Ila wananchi wanataka mabadiliko na wasipoyapata kwenye amani watayatafuta kwenye mazingira tofauti Jiulize wingi wa vyumba chakavu nchini na urahisi wa kupata 3D printers ulivo ongezeka. Hapo chini ni silaha rahisi kutengenezeka
  11. Tumpara Dudu

    JamiiForums Tanzania Tujadili kijasusi ya Captain Tesha

    Salaam kwenu Wana great thinker. Naomba niwashirikishe kwenye mijadala huu KIJASUSI zaidi kwasababu jamii forum ni hom of great thinkers,hatuchukulii jambo juu juu. Wakuu,Jana,sote tunatambua alijitokeza mtu aliyejitambulisha kama afisa wa JW mwenye cheo Cha captain kwa jina anaitwa TESHA...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

    Wakuu Mama sianaupiga Mwingi? Jitokezeni Wakuuu ,au nyie Hamlindwi?? 🤣🤣
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vijana wa UVCCM Wamepata Kigugumizi Kumjibu Captain Tesha the Hero?

    Haya haya wale vijana wa UVCCM mko wapi kuitisha press za kumjibu Captain Tesha? Au hamjasikia chochote? Kama hamna bando njooni niwape free WiFi🤣🤣🤣.
  14. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Captain Tesha ameleta taharuki

    "Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu" "Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi" "Anataka tufuate katiba, kwa nini tufuate katiba? Katiba ni kitabu tu" "Eti analalamika kuwa tunaua wakosoaji. Ni...
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Trab Trat ( Captain Tesha,) yupo Facebook

    Ana leanings kidogo towards Chadema. Slight leanings. Lakini analysis yake ya hali ya siasa ni quite accurate.Anaongea mambo yale yale ambayo Watanzania wanayazungumzia. Nadhani everyone should be calm,na hawa vijana idealistic,kama huyu Captain Tesha,ambao wanafikiria nchi yetu...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na mno watu kushangilia hotuba ya Captain Tesha wa JWTZ katika mitaa ninayoishi. Wengine wameamini JWTZ imechukua nchi

    Ni wazi sana sasa kuwa kumbe wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kupata habari njema za anguko la serikali hii ya CCM. Captain Tesha, askari wa JWTZ alikuwa amesubiwa kwa hamu kubwa asikike... All in all, ni kuwa binafsi sikuwa na hili wala lile. Nimetoka kwenye mihangaiko yangu ya kutafuta...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHAUMMA, ACT na CCM mtandao na polisi muda wowote kuitisha press , kujaribu kumponda captain Tesha !!

    Tunaendelea kuwaonya ,Wote wanaotumika kuwakamdamiza Wananchi. Nyinyi mnaojifanya Wasaniii, kuita vyombo vya habari, kujaribu kuwasonga songa watu wanaosimamia Kweli. Jishikilieni Jishikilieni !!.
  18. 100 others

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

    https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema.. "Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania katika kikosi [00:03] cha Saki kwa maana kwamba ni shule ya anga ya kijeshi Awali ya yote...
Back
Top Bottom