Clouds fm wanarusha live kutoka leaders, gangwe mob ndo wanaimba ila wanakatisha nyimbo coz watu wamepoa na wanagoma kuitikia wanapoambiwa say yooo!
watangazaji wa clouds wanawahoji mashabiki waliokuja leaders na kumuuliza kila wanaomuhoji kuwa amekuja kwa ajili ya kuona show ya nani? kuna jamaa kaulizwa kaja kwa ajili ya msanii gani kajibu DMX, watangazaji wamemuambia kuwa DMX haji tena so aseme msanii wa bongo atayependa kumuona badala ya DMX kasema anamtaka DMX tuu, wamekatisha kumuhoji gafla.
Mshabiki mwingine wa hapo leaders club anaulizwa kaja kwa ajili ya msanii gani, kajibu amekuja kwa ajili ya DMX, watangazaji wanaomuhoji wamepotezea mahojiano juu kwa juu.
Dada yangu Regia, swali dogo tu. Madhumuni ya kusoma hicho kitabu ukiwa bungeni ulikuwa na dhamira ya kutoa quotes ndani ya hicho kitabu kwa shughuli za kibunge au ulikuwa unasoma tu kwa sababu kilikuvutia. Najaribu tu kupata uelewa, ni vipi ukisome bungeni wakati unatakiwa kuwa bize na shughuli zilizokupeleka ndani ya mjengo. Hicho kitabu kilikuwa na mchango gani kwenye miswada ilyosomwa kwenye session iliyopita?
I'm not trying to pick on you but am trying to comprehend what's going on in mjengoni.
Update mbona hazipo tena?
wakuu huyu mkoloni ni noumer.kawasindikiza mapacha.namuona dan msimamo anaruka ruka kwa furaha...wanauliza mumekaa mkao gani..tumekaa mkao wa kula si mnaona hiz sura?bila shaka umeupata huu wimbo.piga kelele kwa ant-virus. sasa anaingia dan msimamo na wimbo wa siku nzuri inavyokwenda. wakuu chrg itakata si unajua leo hapa kinyama tumeshinda bila umeme? habari ndo hiyo. masela wamefurahi kinoma. ukiona kimya ujue ndo hivyo. mia
acha utani huo, wewe ndugu! tafuta nyaya weka kwenye septic tank charge isiishe, walahi, huwezi kutuonjesha utamu then unadai charge imeisha. Ushawahi pata mshipa wa kike weye! katafute charge aisee, antvirus wengi tuwaondoe!
Kwani upo eneo la tukio??
'Kapagawisha mbaya' ndiyo lugha ya mbunge hiyo? Kweli Ana Makinda ana kazi ngumu.
Watu tushalewa, vidole havioni keypads.
'Kapagawisha mbaya' ndiyo lugha ya mbunge hiyo? Kweli Ana Makinda ana kazi ngumu.
Kuna pombe flani inatengenezwa kwa mayai viza inaitwa 'samtata' na sifa ya hii pombe mnywaji asubuhi sana lazima akaharishe mapovu kama kanywa sabuni ya unga.aisee umekunywa pombe gani?
Music ya tz ina bamba mpaka waheshmiwa,. naskia wafu wamesanda game show yao watu wanatoka nje, vp yakweli?Haya jamani waliopo ktk ukumbi tupeni mambo nini kinaendelea ktk ukombozi wa wasanii walionyonywa kwa mda mrefu