Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

... Mimi ninaona hili la ndege limewekwa kwenye priority ya juu kuliko demand. Zingenunuliwa CT kwa kila hosipitali za mikoa na kuweka dawa katika hosipitali zote ...
Zingenunuliwa hizo CT ungeanza kukosoa vile vile. Watu wamejitahidi kujenga madawati tayari wengine wameanza kukosoa, eti oh kwa nini tusingeanza kwa kuboresha vyoo n.k.
 
barafu Tangu hii issue ya kufufuka kwa ATCL umekuwa ukijitahidi kufafanua mambo mengi sana licha ya kubezwa na watu wengi wasio na idea ya aviation industry.Hongera sana na usichoke kufafanua sisi Watanzania siasa imetufanya tumekuwa tunajua kila kitu
 
Ndege ya ATCL angani ikipasua anga na mawingu kwa ajili ya Test Flight. Sasa ni tayari kwa safari ya kuja nyumbani.

Alama ya Twiga wetu inaenda kuruka na kutambaa katika milima na mabonde ya Tanzania. Tunarudi tena katika anga la Tanzania. Nia ya dhati iliyotumika kulifufua shirika hili, itumike pia kutuweka watanzania kama wamoja, kwa chuki na uhasama wa "kuminywa demokrasia", turudishwe na tuwe wamoja.

Tunaenda hatua kwa hatua,kwa ile kanuni yetu ya "JF be the first to know", welcome back home.

The Wings of the Kilimanjaro

View attachment 390071
mtaishia kusifia na kutoa mimacho lkn hampandi NG'OOOOOOOO
 
Rubani na ndege yenyewe haina muda wa kukunja matairi, ni mwendokasi kwa kwenda mbele- Tumechelewa kweli kweli. Inawahi kuja kuwatumikia wadanganyika na kama alivyosema waziri itatua viwanja vyote nchini. Ndege wakijifanya wendawazimu, mapangaboi yanapata mboga.

Maujanja ya kaka Kagame hayo!
Inawauma sana hizi ndege mbili tena mpya,Ni nyie wapinzani mtakuwa wa kwanza kutumia ndege hizi kuendea kwenye operesheni zenu
 
Tuna laana sisi haki ya nani..nchi ya watu 46m kandege kadg kuliko ka Floyd Mayweather, hivi ratio yake ikoje? Ili waTz wote tuonje siti iyo ni baadaya mda gani?
Unajua aina ya ndege anayotumia MayWeather?...ndege aina ile ni "special for private"....sio ya kibiashara,ni sawa na mtu ukanunua Mark X au Alteza kwa ajili kufanya biashara ya usafiri.Dash8 ni kitu ya kazii...huu ni mpela mpela mpaka kunakucha
 
Ile ya Mtanzania mwenzetu imeweza kufunga matairi ikiwa Angani, ila ya ATCL imeshindwa........

Ni bora huyu dogo angepewa tenda ya kutengeneza ndege za ATCL.....

View attachment 390097
Hii ni Chopa,sio Chopa zote zina matairi,nyingine zina hiyo Parking Stand tu bila matairi.Kwenye picha "mbunifu" huyo alijaaribu "kubumba" chopa yenye muundo usio na matairi
 
Ndege ya ATCL angani ikipasua anga na mawingu kwa ajili ya Test Flight. Sasa ni tayari kwa safari ya kuja nyumbani.

Alama ya Twiga wetu inaenda kuruka na kutambaa katika milima na mabonde ya Tanzania. Tunarudi tena katika anga la Tanzania. Nia ya dhati iliyotumika kulifufua shirika hili, itumike pia kutuweka watanzania kama wamoja, kwa chuki na uhasama wa "kuminywa demokrasia", turudishwe na tuwe wamoja.

Tunaenda hatua kwa hatua,kwa ile kanuni yetu ya "JF be the first to know", welcome back home.

The Wings of the Kilimanjaro

View attachment 390071
karibu sana barafu wa moyo wangu,
 
Sio mbaya..
 
karibu home kabajaj ketu ka taifa,wabongo wanaongea sana ujue watakuteta wakiwa humo humo umewabeba,usikasirike tu ukapitiliza kiwanja na kutua shambani km mwenzio yuleee wa zamani alivyofanya kigoma.
Alipasuka kioo mwenzake huyo
 
Back
Top Bottom