Msanii, mambo mengine ni mpango wa mungu tu...CCM Ilizaliwa katika familia iliyokuwa na Maadili, Akili, Busara (TANU na ASP), amelelewa katika misingi na maadali mazuri ya kiafrika/kijamaa. Mara baada ya Wazazi/Waasisi kufariki(JKN)...kwa kasi ya ajabu Kijana (CCM) akaidhihirishia jamii kuwa yeye siyo riziki!...
Kijana akawa teja lililokubuhu La kubwia Unga wa UFISADI!!! Mara madawa haramu ya Ufisadi yakamfanya aanze kuuza mali zote za URITHI ili aendelee kubwia unga wa UFISADI...
CCM Ushoga ukamkolea zaidi, sasa hivi anahongwa ndururu Huko Uswis huku wakiachia mali za Urithi zenye thamani ya mabilioni kwa matrilioni za dolla burebure ili tu njimbi za Ulaya ziendelee kumpakua......Kutokana na madhara ya Madawa ya kulevya yajulikanayo kama Ufisadi, imemfanya afya yake iwe dhoofu anaonekana kama kikongwe cha miaka 500! Mara nyingi anakata network na kujikuta yuko offline muda mwingi... hana maono tena, madawa yamesha mdhuru maini, figo, mapafu, na ubongo wake unasemakana una fangasi...!!!
Wataalamu, Madaktari bingwa wanatabiri kuwa CCM anaweza kufa muda wowote kuanzia sasa, akifika 2015 itakuwa ni kudra za mwenyezi mungu...
Wanajamii wamemchoka kabisa huyu shoga kikongwe kutokana na ukweli kuwa mila na desturi zetu za kiafrika haziruhusu mambo ya kishoga na kubwia unga wa UFISADI....wanatamka wazi kuwa hakutakuwa na kilio wala matanga bali itakuwa siku ya shangwe na furaha...