Yametimia: CCM kuimaliza CHADEMA muda mfupi ujao

Yametimia: CCM kuimaliza CHADEMA muda mfupi ujao

Nusu nzima ya thread hii ni uthibitisho tosha namna CHADEMA inavyoporomoka badala ya kujijenga.

Nashawishika kusema kwamba chama hiki kinapaswa kujipanga vyema kukabidhiwa nchi.

Kama ni tamaa ya kukaa Ikulu, basi hata JK alitamani hivyo na sasa hajui kwa nini yupo pale.

Kuongea na kutenda ni mbingu na ardhi
 
Hivi hata baba yake nae si alipigwaga wanted asigombee urais wa nchi hi na ccm? Kwanza hata huyu Le mutu asije jidanganya kwamba anaweza kupata chochote ndani ya magamba, anajikomba tu ili labda huko mbeleni akifiriwe, halafu ninapata matatizo kidogo na uwezo wako wa kufikiri, hivi ili nchi iendelee inahitajika pia uwe unaenda kwenye nchi hiyo ambayo hukuitaja hapa? Iran iliamua kabisa kutokufanya biashara na Marekani, issue sio kiongozi wao kwenda tu Marekani lakini hata kufanya nao biashara hawataki, nasikia hata unapozungumzia pesa za kigeni nchini Iran wao ni Euro, Paunds na other currency, American Dolla hakuna kabisa, Iran kwasasa ni miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri sana kibiashara, so what is the big deal kwa kiongozi huyo unaemsema kwamba asipoenda kwenye hiyo nchi eti Tanzania itapata matatizo? Sometimes hua najiuliza sielewagi hizi shule ambazo wenzetu hua mnasoma kweli sipatagi jibu kabisa, anyway, rais wa sasa anaongoza kwa kuzurura duniani, nambia faida tunazo/tulizo zipata? Mbona ndio kwanza deni la ndani na nje linazidi kuongezeka? imefikia hatua hadi serikali inataka kuchukua pesa za Wafanyakazi ili waziingize kwenye matumizi ya kawaida, hata hili tu mnataka wenye Degree wawaambie? Very poor thinking capacity.

Issue ya Mbowe kutogombea, hapa kipya ni nini, hata mwaka 2009 alitangaza kutogombea, kwa mara ya kwanza if not ya pili, chama cha upinzani kilishinda na matokeo kuchakachuliwa, kiongozi aliyechaguliwa na wapiga kura hakutangazwa mshindi, kama unabisha, nenda NEC watakwambia!

Ila na wewe thinking na analysis yako ni mtihani sana. Kama jamaa ana kesi ya kubaka, huyo tena ndio awe rais wetu? it can't be. Kisha walinganisha Iran na Tanzania yaani Mashariki kwa Magharibi havisadifu hata chembe. Hivi unajua Iran ipo wapi katika maendeleo ukilinganisha na nchi ya tatu kwenye lindi la umaskini duniani? Iran hawanunui makombora wanayaunda wenyewe, Iran ilikuwa inauza mafuta 40% ya quota ya OPEC. hadi sasa Iran inauza mafuta China, India, Korea, Belarus na baadhi ya nchi marafiki zake. Hao ukiwawekea vikwazo wataathirika lakini sio kwa extent ya Tanzania ambao hata hayo madini, gesi utalii unaendeshwa na wawekezaji kutoka ughaibuni. Ndugu Iran iko mbali sana tofauti na sisi. ndio maana Bw. Robert Gate alikiri kuwa haiwezekani kwa USA kuivamia Iran na kushinda vita. leo hii Israel imeshindwa kuivamia Iran hivyo kuitisha kura ya mapema kwa sababu Neta kachemsha. hao ndio wakulinganisha na wewe mchumia tumbo?

Halafu kwa standard za madeni ya kimataifa, deni la Tanzania ni dogo sana yaani wastani wa USD 310 kwa kila Mtanzania. Marekani wastani wake ni USD 51,820. ndio maana hata IMF wamekiri kuwa Tanzania ni CREDITWORTHY. Lakini hata hivyo madeni haya ni pamoja na ya awamu zote. Madeni katika medani ya kimataifa hulipwa kwa muda wa miaka mingi. SHULE YAKO ULIJIFUNZA KUSOMA TU NAMBA AU TARAKIMU, LAKINI UCHAMBUZI WA NAMBA HIZO HUKUUMUDU. POLE SANA
 
Back
Top Bottom