Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,262
huyu jamaa nimemkuta JF, nikajua ni kati ya watu makini sana kumbe hamna kitu. Yeye na mwiba
Hapo kwenye red,
Angalia nukuu hii toka kwa William Malecela......!
"@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!
- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!
KIDUMU CCM!
KIDUMU CHAMA TAWALA!!
HA! HA! HA! HA!
- LE MUTUZ!!"
Hooray chadema yawakosesha usingizi ,embu tupe uthibitisho kama hawa wanaoposti hapa hawana ID zaidi ya mia ,wanaandika na kujijibu wenyewe Chadema hata ukirudi tumboni mwa mama ako ili uzaliwe upya haitakufa kwa sababu ni nguvu ya umma
Hata ofisini kwako kama vijana wako wa kazi hawana adabu huwezi ukawaacha tu wanajidai,hii ni kawaida,kama huna heshima na kazi lazima utafukuzwa tu!Kuimaliza ama Kuiliza all the same.
Kupitia mitandao hasa JF, kulitolewa maonyo na mikakati kadhaa ya maazimio ya CCM juu ya mikakati mahsusi ya kuidhibiti CHADEMA kupitia mitandaoni. Sehemu ya mkakati huo ilikuwa ni kuwaandaa vijana kuweza kushambulia Upinzani hasa viongozi wa juu ili wasiweze kupenya nyoyo za Watanzania kwa 2015.
CHADEMA ndiye lengo kuu. Na sote tumeshuhudia kuibuka kwa vijana ndani na nje ya CHADEMA ambao wamekuwa wakivuruga malengo ya chama na kuwatukana viongozi wa juu. Kinachonivunja moyo ni kwamba CHADEMA wanalifahamu hili na hawakujipanga namna ya kulikabili na sasa wanaelekea kuwa ktk hali mbaya kisiasa. Kuibuka kwa Masalia na kundi la vijana wa facebook wanaoshambulia moja kwa moja viongozi wa juu wa CHADEMA ni sehemu ya UTEKELEZAJI huo.
CHADEMA waliitumia vizuri sana mitandao ya kijamii kujijenga na hasa hapa JF waliweza kushawishi umma kuwakubali na kuweza kupeleka malengo yao kwa wananchi. Lakini kukaa kwao iddle bila kuzikabili hizi mbinu za CCM ktk kuwamaliza ni wazi upinzani unaelekea kwenye pigo jingine.
Kutojiandaa kuna dalili nyingi sana kwa mfano unapoona watu wanajibu kwa kutukana badala ya kujibu hoja ni mojawapo ya dalili. Nasikitika kusema kwamba CHADEMA kimejikita kwenye majibishano zaidi ya vitendo yaani ile kazi ya M4C inaelekea kumezwa na issue ya masalia na msuguano wa uongozi kwenye taasisi za chama.
Ushauri wangu ni kwamba CHADEMA ikae chini ipange mkakati wake wa kukabiliana na changamoto zinazojitokeza kila siku na hata kuchukua hatua kijamii kwa wale wanaopotosha taarifa za Chama ili UMMA utambue na kujenga imani zaidi. Majibu wanayotoa kwa umma yawe yanajitosheleza kwa sababu kuna hoja zingine ni propaganda na lengo lake ni kuwaingiza viongozi wakuu mtegoni na kusababisha kuhamisha mijadala ya kitaifa hadi kuanza kuzungumzia issues za kitoto. Kwa mfano hoja ya kadi ya Slaa, pamoja na issue ya Ruzuku inayojitokeza sasa.
CHADEMA msipojipanga, hesabuni mmeumia na tutakuwa na historia ya kuwa na chama makini kilichoshindwa kufikia lengo