Yamenikuta

wewe hii kanga si ndo nilikuchagulia umnunulie Asnam wakati unamtongoza na ukakataliwa?!?! utahongaje kanga ya maneno hayo wewe! wenzio wanahonga dashiki, kente, lace material za laki 3 heheeheheeeeeee

loh yaani mtu wa kiume akinilietea khanga ya hivi ntaifanya tambala la deki,haina staha kabisa.
 
Boflo utakuwa umezaliwa Bara, kwetu sisi tuliozaliwa Pwani hayo mambo ya kawaida sana.

Enzi hizo ule wenu mtaani jirani anunue baiskeli ya Phoenix au zile Zheghzeighn a.k.a Shaishaina, basi mkuu "mud guard" ya nyuma itawekwa flepa kubwa lenye maandishi ya vijembe mpaka mtakoma mtaani.

Ukikuta mtu kajitutumua akajenga kibanda cha block, basi nje litawekwa bango lenye Title, "Wazo la Leo". Hapo sasa kila siku kinawekwa kijembe. Dada yangu Madame X atakuwa anakumbuka kitongoji cha Kisosora Tanga, kulikuwa na eneo nyuma ya Kisosora Shopping Centre, jamaa mmoja Mdigo alikuwa anaweka Wazo la Leo kali kila siku, ukipita mtaani kwake lazima ucheke.
 
wewe hii kanga si ndo nilikuchagulia umnunulie Asnam wakati unamtongoza na ukakataliwa?!?! utahongaje kanga ya maneno hayo wewe! wenzio wanahonga dashiki, kente, lace material za laki 3 heheeheheeeeeee

Vile nilidhani Asnam ni mchambawima kama mimi!..........:high5::high5::high5:
 
Last edited by a moderator:
Tunawashukuru masinior wa jf,,, mnafanya maisha yaende maana nmecheka mpaka nimesahau shida za leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…