Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,561
- 8,800
Nimeona matangazo yenye ujumbe “TUMEWASIKILIZA” yaliyo barabarani, jambo lililonifanya nijiulize ujumbe huu unahusu nini na umetolewa na nani?
Wadau, kuna yeyote anayefahamu maana ya mabango haya au anayejua walioyaweka? Tuelimishane, huenda kuna wenye taarifa zaidi. 👀🤔