wewe hii kanga si ndo nilikuchagulia umnunulie Asnam wakati unamtongoza na ukakataliwa?!?! utahongaje kanga ya maneno hayo wewe! wenzio wanahonga dashiki, kente, lace material za laki 3 heheeheheeeeeee
Ukifanya hivyo maumivu ya mkwaju yanapungua au yanaongezeka?
Nimekaribishwa na huo ujumbe...
mambo gani haya?
Nimekaribishwa na huo ujumbe...
mambo gani haya?