Yamenikuta yakunikuta

Yamenikuta yakunikuta

alpha5

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
210
Reaction score
53
Habarini za asubuhi ndugu zangu naombeni ushauri wenu wa dhati maana niko njia panda sijui lipi la kufanya,mimi naishi Arusha nina mke na watoto wawili sasa hivi karibuni kama miezi 5 iliyopita nilipata mgeni pale nyumbani kwangu ni binti kama wa miaka 20 ni ndugu yake na wife.yule binti kwakweli ni mrembo sasa shetani alinipitia nikajikuta natembea nae, hako ka mchezo hua nakafanyia hapohapo nyumbani mda labda wife hayupo na msichna wa kazi sometime hayupo .sasa msichana wangu wa kazi alishtukia huo mchezo ndipo alipomweleza wife kila kitu, wife nae akambana yule ndugu yake hadi akakubali kua ni kweli hua na duu na baba mda ukiwa haupo,yaliyo nikuta nikwamba nimewekwa kikao na binti akaongea yoote mbele ya kadamnass ndugu zangu ni aibu maana majirani wanajua hadi watoto wanajua sasa niko njia panda sijui nianzie wapi nahisi ndoa yangu ndoa bass tena ,emebidi nitoke home kwa mda niko kwa washkaji angalau labda hasira ya wife itapungua
 
akili za kiume sijui zikoje.

under yr roof?? bora hata ungeenda mbali aisee
 
Hahahaha! Sasa tukushauri nini na ushamaliza? Umepanda mbegu, umepalilia, saa ya kuvuna mbigiri unatuita. Huko ghetto kwa mshkaji akikatiza demu mwingine usimuachie, gegeda mwanawani. Krismas njema eeh.

dahh ndugu yangu huo sio msaada niliokua naomba kwanza nawaza mambo mengi maana wife sidhani kama aneweza samehe hii kitu lengine pia hao mtaani sijui ntakatizaje??
 
Dah kuna raia mna hatareee...chovya chovya asali mara eeeh ushachonga zinga la nyuki.
Kama vipi nawe mtafutie kaka yako ili ngoma iwe droo.
 
akili za kiume sijui zikoje.

under yr roof?? bora hata ungeenda mbali aisee
ni shetani alinipitia mimi mwenyewe najuta, tatizo liko kwa huyu bi mkubwa sijui kama anaweza sahau
 
Habarini za asubuhi ndugu zangu naombeni ushauri wenu wa dhati maana niko njia panda sijui lipi la kufanya,mimi naishi Arusha nina mke na watoto wawili sasa hivi karibuni kama miezi 5 iliyopita nilipata mgeni pale nyumbani kwangu ni binti kama wa miaka 20 ni ndugu yake na wife.yule binti kwakweli ni mrembo sasa shetani alinipitia nikajikuta natembea nae, hako ka mchezo hua nakafanyia hapohapo nyumbani mda labda wife hayupo na msichna wa kazi sometime hayupo .sasa msichana wangu wa kazi alishtukia huo mchezo ndipo alipomweleza wife kila kitu, wife nae akambana yule ndugu yake hadi akakubali kua ni kweli hua na duu na baba mda ukiwa haupo,yaliyo nikuta nikwamba nimewekwa kikao na binti akaongea yoote mbele ya kadamnass ndugu zangu ni aibu maana majirani wanajua hadi watoto wanajua sasa niko njia panda sijui nianzie wapi nahisi ndoa yangu ndoa bass tena ,emebidi nitoke home kwa mda niko kwa washkaji angalau labda hasira ya wife itapungua
wanaume kwa kumsingizia shetani bana
 
dahh ndugu yangu huo sio msaada niliokua naomba kwanza nawaza mambo mengi maana wife sidhani kama aneweza samehe hii kitu lengine pia hao mtaani sijui ntakatizaje??

hahahha, mi unanichekesha ujue? Mkeo nna hakika atakusamehe ila baada ya hapo utasuffer kiukweli. Lazma in one way or another atalipa kisasi na nakuombea kwa mola kama nae akiamua kutoka nje ya ndoa usijue. Ila na wewe ukigombana na mkeo mnaita majirani mtaa mzima na watoto? Hukumfikiria mkeo kuwa siku akijua unatembea na ndugu yake humo humo ndani nae atajisikiaje? Isitoshe, wewe unaweza kutembea na mwanao uliemzaa aisee. Kama mtu anaekaa kwako anakula ugali wako unamsimamishia? Kaa mbali na wanao, namaanisha!
 
jamani hivi kwanini watu huwa wanafanya mambo alafu wanasema shetani kawapitia, shetani hawezi kwenda zaidi kama wewe hutamruhusu, Yesu alijaribiwa na shetani alimshinda kwa neno la Mungu sasa wewe ulipoona hilo ni jaribu kwanini hukujiweka mbali nae? badala yake umefanya kweli, inawezekani wakati mwingine shetani huwa anatushangaa maana wanayofanya wanadamu siku hizi lol, pole sana ingawa umevuna ulichopanda subiri uone mkeo ataamua nini, ila hiyo adhabu tosha hadi watoto kujua kuwa baba yetu ni mzinzi kazi unayo
 
Uanzie wapi wakati ulishaanza na ukamaliza? Eti shetani alikupitia hahaaa! Ulikosea kuentertain vikao lakini usijali hayo hutokea na maisha lazima yaendelee. Ila nakusihi ukimkuta mkeo analiwa usipanic just potezea mkuu
 
Wewe ni mwanaume wa kweliii....just singing!!
Ulikumbuka kutumia?
 
Ndio tatizo la kukaribisha ndugu wa wife home, wkt wewe unashinda hapo home. Lazma mitamaa ikuamke.
 
Dada kwani katembea na mwanaume mwenzake? we si unaona kamgegeda shemeji tena toka nikutoke na dadaye...

yeye ndo faza house kamseduce tu huyo binti wa 20 yrs, usikute kamtishia hata kumfukuza
 
Back
Top Bottom