Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,973
Mkuu pole sana, kwa kuwa ukweli umeshajulikana, we jidai huna aibu ukae nyumbani kwako, muombe msamaha wife na uache huo ujinga. ukiukwepa ukweli, hutaweza pia kuyakwepa madhara yake. Kaa kiume.
Jamaa alinichekesha siku moja chuo, ametoka kuoga, taulo likadondoka mbele ya wadada flani, yeye wala hakuwa na wasiwasi, akawauliza mnashangaa nini, akachukua taulo lake akajifunga kama hama kitu kilichotokea. Japo kweli aliaibika lakini kule kujifanya vile kulifanya kile kitendo kionekane cha kawaida japo hakiko hivyo.
Beba msalaba wako, rudi nyumbani, kuwa imara baada ya muda nalo litapita. ukikaa nje ya nyumban nadhani aibu itakuwa kubwa zaidi na kurudi labda baada ya miaka mingi.