Yamenikuta yakunikuta

Yamenikuta yakunikuta

rafiki yangu shetani hakukupitia, hilo ondosha, kubali kuwa ulifanya makosa kwa kuelekea kwenye tamaa ya kumla shemegi ndio yale shemegi kula,ingelikuwa mara moja tu afadhali lakini kila leo wewe ulikuwa umepanga,
Aibu sio yako kwani wewe huna aibu, aibu iko kwa familia yako sio kwako, wewe rudi nyumbani wala usiwe hasira kwani ulikubali yatokee, Mke wako anaweza kukusamehe lakini asipokusamehe unaeza kuomba kushi pamoja ili kulea watoto hio ndio njia pekee ya kueza kurudi lakini usijaribu kulazimisha
Mimi kibamia changu kinajifurahisha na picha za Mbuzi mzee wala hakitaki kuwa na mashetani zaidi ili kuepuka majaribio kama yako
 
Wewe ni mwanaume wa kweliii....just singing!!
Ulikumbuka kutumia?

Akumbuke wapi wakati alikuwa anapiga cha fasta fasta ili asifumwe! wee mwanawane uliharibu ulipokubali kufanya kikao cha mtaa kama vile mnatatua matatizo ya mtaani kwenu!
 
Tulia kwanza maana inawezekana baada ya muda utapata taarifa ya shemeji yako uliyekuwa ukilamba nae asali ana mimba,baada ya hapo ndipo tutakushauri vizuri
 
dahh ndugu yangu huo sio msaada niliokua naomba kwanza nawaza mambo mengi maana wife sidhani kama aneweza samehe hii kitu lengine pia hao mtaani sijui ntakatizaje??

[h=1]AKILI ZA KIUME NI MATOPE, FIKIRINI KABLA YA KUTENDA.
Uaribifu tu. Na ole wako mama wa huyo mtoto ulie muaribu asikie. Kajizike ungali hai. Binadam kama nyie hawaitajiki
[/h]
 
hakun a kitu kaamhicho bana hivi angemkuta mkewe kapitiwa na shetani kwa siku ya kwanza home kwake na yuko na mdogo wake ingekuwaje?

Najua ingekuwa the other way round hiyo nyumba imgekuwa haikaliki. I have to salute the wife, anaonekana she is very smart, what she has made the dude go through yani hata akimsamehe jamaa hawezi rudia!
 
Habarini za asubuhi ndugu zangu naombeni ushauri wenu wa dhati maana niko njia panda sijui lipi la kufanya,mimi naishi Arusha nina mke na watoto wawili sasa hivi karibuni kama miezi 5 iliyopita nilipata mgeni pale nyumbani kwangu ni binti kama wa miaka 20 ni ndugu yake na wife.yule binti kwakweli ni mrembo sasa shetani alinipitia nikajikuta natembea nae, hako ka mchezo hua nakafanyia hapohapo nyumbani mda labda wife hayupo na msichna wa kazi sometime hayupo .sasa msichana wangu wa kazi alishtukia huo mchezo ndipo alipomweleza wife kila kitu, wife nae akambana yule ndugu yake hadi akakubali kua ni kweli hua na duu na baba mda ukiwa haupo,yaliyo nikuta nikwamba nimewekwa kikao na binti akaongea yoote mbele ya kadamnass ndugu zangu ni aibu maana majirani wanajua hadi watoto wanajua sasa niko njia panda sijui nianzie wapi nahisi ndoa yangu ndoa bass tena ,emebidi nitoke home kwa mda niko kwa washkaji angalau labda hasira ya wife itapungua

muangukie wife,kiri makosa yako mueleze unatambua umemkosea,unatambua umemvunjia heshima lakini vile vile unatambua ni kiasi gani umemuumiza,mwambie once is a mistake but twice is a sin,kama wife nimuelewa atakusamehe kwasababu binadamu tumeumbiwa makosa.
 
Hongera kijana bt makosa yapo omba msamaha wa dhat NA use tayar kupay the price ya uliyoyafanya. Wife may b atakuelewa
 
shetani alikupitia?ume do nae mara ngapi?kama ni zaidia ya mara moja unamsingizia shetani like seriously,na ulivo kua ukimaliza je ulikua wajisikiaje?like regrets au hapines?shame on you,hivi huridhiki au ninini?alafu ilikuaje mpaka majirani wakajua?wanaume bwana,u seriously need Jesus
 
pole mzee mwenzangu duh1 hapo sasa naww inabidi uzuge unahasira mbay na kila mtu hii itapunguza maswli na wengne watjihc wamekukosea by the way hapo ni kwako bhan cyo kwa mwanamke
 
dahh ndugu yangu huo sio msaada niliokua naomba kwanza nawaza mambo mengi maana wife sidhani kama aneweza samehe hii kitu lengine pia hao mtaani sijui ntakatizaje??

Dah pole sana mkuu ila ni kweli umefanya makosa makubwa n u shud repent ur sins, well naona wadau wanazidi kukusema instead ya kukupa mawazo ila the truth is dat we all make mistakes..!, my advice is dat forget abt wat other people think of u, kitu cha msingi ni kum convince ur wife that ur sorry and that ur wat to make up for the mistake..start from ground zero like being responsibe to ur family,kumuomba kwenda dates kama zamani wen ur wea young lovers so as to make her feel loved again and have faith in u all over, it might take time but u have to be mvumilivu instead of kukaa tu huko gheto kwa washikaji which wont help
 
wajameni huyu mpendwa kweli yamemkuta haya mambo mbona yuko comfotable kujibu maoni ya wa2 au ndo yaleyale wa2 kujitungia thread humu ndan na kujaza heading asubui yote hiii
 
Shetani kakupitia? ingekua once atleast ungeweza kumlaumu japo kosa bado lingekua lako,sasa mpaka umenogewa kabisa ndugu yangu?? Every action has equal and opposite reaction, its time ku-face it. Mkeo lazima aumie sana, take kaka yako ndio kaja kukutembela halafu wewe ukiondoka jamaa anaweka vitu vyake, ungefahamu ungechukua uamuzi gani? Kiukweli unahitaji usali sana kwani kwa sasa itakua vigumu sana kukuamini hivyo hata mkirudian haitakua tena kama mwanzo unless u-prove kiukweli kwamba umebadilika na kufanya hivyo ni shughuli nzito. Ninawaonea huruma hao watoto kwani lazima kuna kitu flani kibaya umeki implant kwenye fikra zao. Unahitaji sala sana mkuu
 
Tafuta hela ya kutosha...mpeleke dubai hapo akale sushi, utaona tabasamu linakuja lenyewe....usirudie tena lakini
 
Tafuta hela ya kutosha...mpeleke dubai hapo akale sushi, utaona tabasamu linakuja lenyewe....usirudie tena lakini

du nimependa sushi inasafisha ubongo? unasahau kila kitu au hilo jambo moja tu?
 
akili za kiume sijui zikoje.

under yr roof?? bora hata ungeenda mbali aisee

Akili ya KIUME ikishashuka kwenye kichwa cha chini baasi tena kila kitu tunaharibu. SASA hapa mwanaume mwenzangu keshaharibu ndoa kwa starehe ya muda mfupi POLE ndugu yangu
 
wajameni huyu mpendwa kweli yamemkuta haya mambo mbona yuko comfotable kujibu maoni ya wa2 au ndo yaleyale wa2 kujitungia thread humu ndan na kujaza heading asubui yote hiii

Hayo yamenikuta mzee na ndio maana naomba msaada
 
kwanza umemvunjia heshima mkeo utatembeaje na ndugu yake????inaonesha wewe una tamaa sana na sio mwaminifu hata kidogo,je warembo unaokutana nao huko nje si ndo unawachakachua mpaka basi.
 
shetani waapi bwana wewe unaonekana hako katabia unako sasa vuna mbegu ulizopanda kwa mkono wako mwenyewe nenda kaombe msamaha na hata ucpo samehewa ni haki kabisa coz hicho ndicho ulichokitaka.
 
muangukie wife,kiri makosa yako mueleze unatambua umemkosea,unatambua umemvunjia heshima lakini vile vile unatambua ni kiasi gani umemuumiza,mwambie once is a mistake but twice is a sin,kama wife nimuelewa atakusamehe kwasababu binadamu tumeumbiwa makosa.

Never teach a person how to apologise..what if moyoni mwake hajajuta kweli na atarudia kumuumiza mkewe??ukute hajutii kosa,anajutia siri kufichuka.mwache mwenyewe ndo anjua atamlambaje mkewe miguu amsamehe.halafu sijui kwanini mtu anakosa halafu kikubwa anachojali ni jamii kujua badala ya extent aliomuumiza mwenzie.hapa mtoa mada anaogopa jamii na hasira za mkewe..sioni kama kajutia kosa.angempenda mkewe,asingemuaibisha kwenye hiyo jamii anayoiogopa.na wa kuogopa kukatisha kitaa should be mkewe ambae kutwa atanyooshewa vidole na kuonewa huruma..wanaume wengine sijui wana-assume wake zao wana mioyo ya plastiki!!!!nakereka mimi!mxiuuuu
 
pole mzee mwenzangu duh1 hapo sasa naww inabidi uzuge unahasira mbay na kila mtu hii itapunguza maswli na wengne watjihc wamekukosea by the way hapo ni kwako bhan cyo kwa mwanamke

Yatima wa akili au???seriously ndo ushauri huo?badala ya kumpa mtu ways to deal na tatizo,unamfundisha kiburi?so akiwa kwake ndo afanye upuuzi??alioa ili iweje?si akae kwake peke yake basi,hata akigonga dada zake asiulizwe!si yupo kwake bana...kama shetani kampitia mbona hawezi lala na mamake mzazi?kujizoesha tu!
 
Back
Top Bottom