Yamenikuta yakunikuta

Yamenikuta yakunikuta

duh,we mwanaume mwenzangu lakini umenizidi vitu vingi sana!!okey,its too late,hapo subiri kudura za mungu tu
 
ni shetani alinipitia mimi mwenyewe najuta, tatizo liko kwa huyu bi mkubwa sijui kama anaweza sahau

Shetan alikupitia??acha kabisa kumsingizia shetan vitu ambavyo umefanya kwa akili na utashi wako...na hayo yaliyokupata ndo malipo ya msaliti..9ha kufanya wewe hapo rudi nyumban omba msamaha kwa kumaanisha..:hapo mtaan aibu itakua na ww ila mwishowe yataisha tuu...jifunze na umrudie Mungu
 
tatizo letu boys ni tamaa zaid ya gals, cha kufanya jaribu kujua msimamo wa wife wako na jaribu kuomba msamaha but make sure unavunja mapenz na hako ka dada ikiwezekana ahame kabisa hapo,
huna haja ya kuona aibu coz ungekuwa na aibu ungeanza kuiona wakat unamvua nguo huyo mdada!! wewe huna aibu kaka una acti tu!!
 
unatujazia seva.........tatizo na ww kwa nini ukubali mavikao ya jumuia nzima wakat ulijua kuna ukweli..ungeomba hata safari ya gafla ili mradi tu hata upokee hukumu yako huko huko.......utajijua!!
 
Huyu jamaa maybe it was his first time kupitiwa na shetani....so hakuwa na choice akaona ayamalizie nyumbani..

hakun a kitu kaamhicho bana hivi angemkuta mkewe kapitiwa na shetani kwa siku ya kwanza home kwake na yuko na mdogo wake ingekuwaje?
 
Habarini za asubuhi ndugu zangu naombeni ushauri wenu wa dhati maana niko njia panda sijui lipi la kufanya,mimi naishi Arusha nina mke na watoto wawili sasa hivi karibuni kama miezi 5 iliyopita nilipata mgeni pale nyumbani kwangu ni binti kama wa miaka 20 ni ndugu yake na wife.yule binti kwakweli ni mrembo sasa shetani alinipitia nikajikuta natembea nae, hako ka mchezo hua nakafanyia hapohapo nyumbani mda labda wife hayupo na msichna wa kazi sometime hayupo .sasa msichana wangu wa kazi alishtukia huo mchezo ndipo alipomweleza wife kila kitu, wife nae akambana yule ndugu yake hadi akakubali kua ni kweli hua na duu na baba mda ukiwa haupo,yaliyo nikuta nikwamba nimewekwa kikao na binti akaongea yoote mbele ya kadamnass ndugu zangu ni aibu maana majirani wanajua hadi watoto wanajua sasa niko njia panda sijui nianzie wapi nahisi ndoa yangu ndoa bass tena ,emebidi nitoke home kwa mda niko kwa washkaji angalau labda hasira ya wife itapungua

Sasa unachoogopa nini na ushasema huyo binti ni mrembo..... wife akizidisha hasira chukua huyo ndugu yake jumla, fanya replacement mechanism faster!!!!
 
Na huyo housegirl vipi? ulisha m DO? iweje auze picha?:target:
 
Swahiba limekukumba lakukumba, muache kukaakaa majumbani bandugu khaaaa
 
Wanaume wengine ni wanaume majina! Utakubalije kuwekwa kiti moto kujadili jambo ambalo unajua ni kweli umelifanya?
Hiyo ilikuwa ni issue kubwa ambayo ulipaswa kuijadili wewe na mke wako tu, mkiwa chumbani, ungeomba msamaha kwa wife na kumuomba asitoe mambo hayo nje!
Mke kama ana busara ndo angewambia hao watoto na mtuhumiwa wakae kimya!

Adhabu utakayoipata ni kwamba tegemea revenge kutoka kwa wife wako; kama hatakukata hizo nyeti zako - atatembea hadi na marafiki zako wa karibu tena atajitahidi ujue hili uumie!
 
huyo mke atakusamehe tu,ila kusahau kwake itachukua muda.inachotakiwa wewe umpembejee mke wako,sio kwa maneno tu bali na vitendo.ila kuna mawili hasira zake zinaweza kumfanya a revenge,au kwa kipindi hiki atapunguza mapenzi kwako.kuwa mvumilivu yatapita tu.ila usirudie tena
 
hapa tamaa ilikuzidi ukashindwa kuidhibiti kosa limeshafanyika ,rudi kwa wife wako muombe radhi .tatizo sisi wanaume neno samahani tunalikwepa sana litumie leo uone manufaa yake
 
We rudi kwako bana, umesha do ndo uje uombe ushauri? mbona hukuja kabla ya kutegwa? Mwisho wa ubaya huwa ni aibu we nenda kamsihi mkeo atakuelewa tu. ila hako karembo kaondoke kwan huna tiket ya kumkwepa tena endapo atakuwa home kwako na wewe huo ndo mwisho wa uaminif kwa mkeo.
 
Hiyo ni noma, kama ni shetani kweli alikupitia itabidi umpigie magoti wife akusamehe, ni mtihani sana kuanza kutafuta mke mpya siku hizi, mademu wote kwa nje wazuri kumbe wengi wao walishashindikana (sio wa kuoa). Ila sasa, problem ni kwamba na wife akiliwa na lijamaa huko nje, ukajua na ushahidi wote ukawa nao, atakuambia shetani alimpitia umsamehe, utamsamehe????
 
ni shetani alinipitia mimi mwenyewe najuta, tatizo liko kwa huyu bi mkubwa sijui kama anaweza sahau

Hivi huyo shetani anawapitiaga nyie tu?!!
Ni kuendekeza tamaa tu huko.
I feel bad for your wife
 
Wanaume wengine ni wanaume majina! Utakubalije kuwekwa kiti moto kujadili jambo ambalo unajua ni kweli umelifanya?
Hiyo ilikuwa ni issue kubwa ambayo ulipaswa kuijadili wewe na mke wako tu, mkiwa chumbani, ungeomba msamaha kwa wife na kumuomba asitoe mambo hayo nje!
Mke kama ana busara ndo angewambia hao watoto na mtuhumiwa wakae kimya!

Adhabu utakayoipata ni kwamba tegemea revenge kutoka kwa wife wako; kama hatakukata hizo nyeti zako - atatembea hadi na marafiki zako wa karibu tena atajitahidi ujue hili uumie!

Yah, huyu jamaa anakubali vipi ishu kama hii? Principle yangu ni kuwa wife hata akinikuta uch_ kabsaaaaa, na demu yupo hivo hivo, nakataa kata kata. Singizia chochote lakini usikubali kuwa umekula mzigo!!! Kwa sababu women are very strange creatures, anafika mahala anaanza kuamini amini kuwa hujam-cheat hata kama alikufuma live. mpaka akae na wenzie wampandishe midadi kwanza ndio anaanza kukushuku tena!
 
Back
Top Bottom