Habarini za asubuhi ndugu zangu naombeni ushauri wenu wa dhati maana niko njia panda sijui lipi la kufanya,mimi naishi Arusha nina mke na watoto wawili sasa hivi karibuni kama miezi 5 iliyopita nilipata mgeni pale nyumbani kwangu ni binti kama wa miaka 20 ni ndugu yake na wife.yule binti kwakweli ni mrembo sasa shetani alinipitia nikajikuta natembea nae, hako ka mchezo hua nakafanyia hapohapo nyumbani mda labda wife hayupo na msichna wa kazi sometime hayupo .sasa msichana wangu wa kazi alishtukia huo mchezo ndipo alipomweleza wife kila kitu, wife nae akambana yule ndugu yake hadi akakubali kua ni kweli hua na duu na baba mda ukiwa haupo,yaliyo nikuta nikwamba nimewekwa kikao na binti akaongea yoote mbele ya kadamnass ndugu zangu ni aibu maana majirani wanajua hadi watoto wanajua sasa niko njia panda sijui nianzie wapi nahisi ndoa yangu ndoa bass tena ,emebidi nitoke home kwa mda niko kwa washkaji angalau labda hasira ya wife itapungua
Yani umekosa hivo halafu uko kwa washkaji??nyumba yako aitengeneze nani?manake kama ni wa kutoka nyumbani kupumua,ni mkeo sio wewe!..kwanza umejuta kweli?hicho ndo cha msingi.ukute unajuta kubambwa so umejifunza kucheat kwa umakini next time!..kama unajutia toka moyoni,first jiandae mfukoni ukae safi,coz making this up will be so costly,over unaoa upya. nenda kwa wakwe zako ukawaombe radhi coz umewatukana na wao.tena sana.ikibidi ujibebeshe pesa ukawapooze,tena uende na watu wazima kadhaa toka kwenu watakusaidia kuomba msamaha kimila.hapo hakuna kuficha tena,siri ishajulikana.najua ni aibu na ubabe wa kiume inabidi upungue,ila ndo ujue makosa yana gharama tena kubwa..pili rejea home,mpe mkeo likizo.make her feel like a queen.nakumbusha,ni ngumu na uanaume tupa kule,hii ni ndoa yako bana,itetee au iache iteketee.mruhusu mkeo aondoke nyumbani akakae nyumbani au kama unajiweza,aende to a hotel.let her do anachopenda.women tunapenda shopping,so let her.keep in touch,keep apologising na ndo iwe sms ya kwanza anayoikuta kila akiamka na kabla hajalala.(Mind u kama kakupenda,she won't cheat akiwa away).kaa karibu na watoto.kama hujui kupika,ndo ujue.kila kitu ukifanye wewe.mkeo akihave enough air,atarudi tu siku.hili halitakusaidia tu kurejesha ndoa,bali litakufundisha kuthamini familia.utatengeneza bond kubwa sana na watoto wasione you're that much of a beast ingawa umeshawaathiri kwa kiasi flani.pole kaka ingawa umeniudhi kwa uzembe wako..kikubwa,mpe mkeo muda to breathe,rudi nyumbani uwajibike.ukishajua how hard it is kutunza familia,hutokaa umvunjie mkeo heshima
tena!USIRUDIE TENA!!