Ushauri wako si mbaya ila usiniite mjinga sheikhtama za nini sasa wakati ushaoa???? we hujui ndoa ni kitu cha heshima inatakiwa iheshimiwe na sio uo ujinga unaofanya ww,, muombe sana mke msamaha make umemuoneshea dharau kichizi eti
Binti alifanya mistake siku moja akatuma sms usiku wa manane nimelala kwamba amepigwa sana na baba yake kwa kosa la kumtetea mdogo wake alipiwe ada. Na ameumizwa sana hivyo akamalizia na neno sweetie.
Hapo wife akili zikakaa attention na akaanza kuwasiliana naye kwa text kwa kificho. Na kila usiku nikilala anachukua simu na kumtext kuangalia kama mahaba yapo au lah. Binti akawa anatiririka tu. (Nilishamkanya asiwe anatext bali mie ntampigia tuongee)....
Sasa akafanya mpango hadi akampata binti uso kwa uso mjini... baada hapo kilichofuata ni balaa maana hakuniambia kama anawasiliana naye.
Hapo kaka kukataa ni ngumu maana binti mwenyewe anakiri kwamba tuna mahusiano...
Kilichofuata hapo ni balaa bin janga.
Mpe option ya yeye kulalwa na mtu yeyote anaemtaka. Hiyo ndoa unaipenda bado na unaleta fyokoo fyokoo hahaha
Kiongozi pole sana, ila mkeo ni noma. Yaaani anataka kuona mwanamke mwenzie akipigwa mtungo? wewe cha kufanya ni kuendelea kutenda matendo ya huruma ili akusamehe na ujitahidi kuondoa mazingira yale yanayomfanya akuhisi vibaya. Ila niliposoma hapo mwisho nimejikuta nacheka sanaNilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako). Tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.
Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba. Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.
Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.
kwakua unaupenda huo mchepuko bora ubakwe wewe badala yake
Na hapo ndo umemaliza vitabu vyote vya hekima...Mwambie mkeo akukodie timu ya kukushughulikia wewe na Si huyo bint wa watu.
Mmmh! unamaanisha kweli hilo unalosema? Vipi angekuwa ni binti yako wa kuzaa?Abakwe tu! si ana uhaba na dushe...abakwe hamu imuishe...
Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako). Tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.
Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba. Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.
Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.
Binti yangu wa kuzaa awe nyumba ndogo?...God forbid!Mmmh! unamaanisha kweli hilo unalosema? Vipi angekuwa ni binti yako wa kuzaa?
Hahahahaah yaani kama nakuona unavotamka maneno hayaMpe option ya yeye kulalwa na mtu yeyote anaemtaka. Hiyo ndoa unaipenda bado na unaleta fyokoo fyokoo hahaha