Yamenikuta: Mapenzi mchezo mchafu

Yamenikuta: Mapenzi mchezo mchafu

Mademu xx hvi nawfanyia UMAFIA!! Ni mwendo wa kupga na kusepa!! Iko hivi, atakaye kaa kwnye njia napga ksha nampotezea na kupiga ni zaid ya mara 2 after that Mikausho mikali mpka anitafute yy!! Akitoka huyo anakuja mwngine atakayekaa kwenye Site yngu!!
NINA ROHO MBAYA YA MADEMU sitaki hta kusikia wla kubembelezwa juu yao!! Nnapomfukuzia nakuwa mpore, mixer kumfanya Queue ila akinipa KANYA
Mh hapana kwa hilo utanipeleka motoni
 
Wasalaam
Natumaini kila mmoja ni bukheri wa afya , napenda kuchukua fursa hii, kuomba maoni, ushauri kwa wenyeuzoefu

Mimi ni kijana chipkizi kiumri ni shabab mwenye afya njema but now nipo naendelea na masomo katika miangaiko yetu ya kawaida katika kutafuta elimu.

Kama tunavyojua "life is nothing without love" nilikua na galfriend wangu for 4yrs now but kulikua hakuna great interaction between me and she!

Tabia yake imenza kubadirika mara tu yakumaliza elimu ya secondary nikimtext anajibu shortly kwa mfano: sweetie mambo, umeamkaje jibu kutoka kwa bibie ni moja tu poa baada ya hapo usipo mtafuta na yy akutafuti

Nimevumilia sana ila hapana recently akaniambia ambayo binafsi haswaaa ndo yamenisukuma kuandika uzii huu! Mara baada ya kuniambia kwa anzia sasa haupo katika ramani ya kichwa changu akataja sababu kwamba sijui kupenda wala kupendwa kwa hivyo kwa nikae pending wanaojua kupenda wanionyeshe .

Binafsi maneno kama haya yaliniumiza ila she ! Bado na mpenda na juz kanitumia msg kwamba ameni miss baada ya kimya kirefu sasa niko njia panda naomba ushauri ni pige chini au niendelee kubaki nae! Katika hayo inadai u busy wangu ndounaoniponza ila kidume na jitahidi kushow love lakin workdone equal to zero! Karibuni kwa ushauri. Nawasirisha
Uzi wa kipuuzi huu
 
Hayo yalikuwa mapenz ya kisecondary secondary ,alikuwa hajakua kiakili. Sasa kaanza kugegedwa na wenzako na kajionea michezo mingne mingi. Hizo ni dalili tosha kabisa kuwa unatakiwa uachane nae Mara Moja maana anaweza kukuletea magonjwa bureeee kabisa bila hata sh. 10. Soma kwa bidii na utapata tu mtu wa kuishi nae
 
Trust me bro,somebody fucks her,she don't know how to drop you for him.....she loves you but she wants the side guy too pay attention
 
Huyo demu ashapata mshkaji mwingine. Mademu hua hawaleti drama za majibu mafupi kama hawakudharau.
Kama Mwanaume mwenzako, ili kurudisha hadhi ya kiume, Piga Mashine, Achana nae
 
Sijasema nimwanafunzi
Maneno yako yanakufunga maana kwa wajuzi wa mambo stori yako inaonesha ulianza na huyo binti akiwa la saba shule ya msingi hebu angalia hapo nanukuu
"Kama tunavyojua "life is nothing without love" nilikua na galfriend wangu for 4yrs now but kulikua hakuna great interaction between me and she!

Tabia yake imenza kubadirika mara tu yakumaliza elimu ya secondary nikimtext anajibu shortly kwa mfano: sweetie mambo, umeamkaje jibu kutoka kwa bibie ni moja tu poa baada ya hapo usipo mtafuta na yy akutafuti" mwisho wa kunukuu
 
Maneno yako yanakufunga maana kwa wajuzi wa mambo stori yako inaonesha ulianza na huyo binti akiwa la saba shule ya msingi hebu angalia hapo nanukuu
"Kama tunavyojua "life is nothing without love" nilikua na galfriend wangu for 4yrs now but kulikua hakuna great interaction between me and she!

Tabia yake imenza kubadirika mara tu yakumaliza elimu ya secondary nikimtext anajibu shortly kwa mfano: sweetie mambo, umeamkaje jibu kutoka kwa bibie ni moja tu poa baada ya hapo usipo mtafuta na yy akutafuti" mwisho wa kunukuu
Ndio shida ya story za kutunga, anajichanganya mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom