Yamenikuta: Mapenzi mchezo mchafu

Yamenikuta: Mapenzi mchezo mchafu

Naona issue ya elimu inaleta maswali mengi sana ila poa sio mwanafunzi ya sec
Nan amesema ni mwanaafunzi!?tunajua ameshamaliza kulingana na maelezo yako,mimi nataka nijue amemaliza nin?ili niweze kukushauri
 
Mwingize kwenye 18 zako then kula papuchi kisha mpasue na marinda kwa kisingizio kwamba unamwonyesha love, then piga chini!!!! Shenzi type.
 
Wasalaam
Natumaini kila mmoja ni bukheri wa afya , napenda kuchukua fursa hii, kuomba maoni, ushauri kwa wenyeuzoefu

Mimi ni kijana chipkizi kiumri ni shabab mwenye afya njema but now nipo naendelea na masomo katika miangaiko yetu ya kawaida katika kutafuta elimu.

Kama tunavyojua "life is nothing without love" nilikua na galfriend wangu for 4yrs now but kulikua hakuna great interaction between me and she!

Tabia yake imenza kubadirika mara tu yakumaliza elimu ya secondary nikimtext anajibu shortly kwa mfano: sweetie mambo, umeamkaje jibu kutoka kwa bibie ni moja tu poa baada ya hapo usipo mtafuta na yy akutafuti

Nimevumilia sana ila hapana recently akaniambia ambayo binafsi haswaaa ndo yamenisukuma kuandika uzii huu! Mara baada ya kuniambia kwa anzia sasa haupo katika ramani ya kichwa changu akataja sababu kwamba sijui kupenda wala kupendwa kwa hivyo kwa nikae pending wanaojua kupenda wanionyeshe .

Binafsi maneno kama haya yaliniumiza ila she ! Bado na mpenda na juz kanitumia msg kwamba ameni miss baada ya kimya kirefu sasa niko njia panda naomba ushauri ni pige chini au niendelee kubaki nae! Katika hayo inadai u busy wangu ndounaoniponza ila kidume na jitahidi kushow love lakin workdone equal to zero! Karibuni kwa ushauri. Nawasirisha

Hizi stories zako peleka kule facebook au badoo. Tumechoka sasa.
 
Nan amesema ni mwanaafunzi!?tunajua ameshamaliza kulingana na maelezo yako,mimi nataka nijue amemaliza nin?ili niweze kukushauri
Dah mada inajieleza sidhani kujua amemaliza lini itasaidia
 
Anakuchezea unajua na bado unatafuta ushauri, uamuzi ni wako kwani amekuambia na hutaki kumsikia.
 
kwa mwanaume ni tabia mbaya sana kumpa mwanamke moyo wako. Matokeo yake ndo hivo sasa... Huyo mwanamke ni hatari usirudi kwake kwa hali yoyote ile
 
Kulikuwa hakuna great interaction between me and she,hivi kama unahisi ukitumia kiswahili utaeleweka sio utumie tu hichocho?=...**She haifany kazi kama pronoun kwa namna hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom