itasaidia,nitaweza kukisia umri wa huyo girl,hii itasaidia kujua kama n mtoto au mkubwa,yawezezekana mkuu unatoka na mtoto wa primary ndo maana unakutana na hayo yaliyokupataDah mada inajieleza sidhani kujua amemaliza lini itasaidia
kama bado unampenda humu umekuja kufanya nini?unatupotezea muda kujadili kitu ambacho umeshafanya maamuzi,utoto wako peleka shobo network(FB).Mh maneno yako yanaukakasi bado nampenda
Matured enough! Ila ndoivyo kiongozi galz sijua huwa mapepo hawatulii now dayzitasaidia,nitaweza kukisia umri wa huyo girl,hii itasaidia kujua kama n mtoto au mkubwa,yawezezekana mkuu unatoka na mtoto wa primary ndo maana unakutana na hayo yaliyokupata
Haki ya kupenda mnapotimiza miaka inayotambulika kisheria ya kila mmoja haijalishi sio kwamba siwezi kusoma bila galfriend ata mungu anasema "and we created you in pairs"Unaonesha bado uko form two unahangaika na mapenz yatakutokea puan na hio elimu utaiskia kama mwangwi!!
Tuelewane nipo dilema, really nampenda ila nina option mbili ni mpige chini au kwawenye uzoefu nibakinae huenda aka badilikakama bado unampenda humu umekuja kufanya nini?unatupotezea muda kujadili kitu ambacho umeshafanya maamuzi,utoto wako peleka shobo network(FB).
Halafu akaendelea mbele kwa "she confusing me"Kulikuwa hakuna great interaction between me and she,hivi kama unahisi ukitumia kiswahili utaeleweka sio utumie tu hichocho?=...**She haifany kazi kama pronoun kwa namna hiyo
Usirudi nyuma jikaze kisha endelea mbele...we mwache aende zake maadam hujambwaga wewe...kuwa na Amani jombaaWasalaam
Natumaini kila mmoja ni bukheri wa afya , napenda kuchukua fursa hii, kuomba maoni, ushauri kwa wenyeuzoefu
Mimi ni kijana chipkizi kiumri ni shabab mwenye afya njema but now nipo naendelea na masomo katika miangaiko yetu ya kawaida katika kutafuta elimu.
Kama tunavyojua "life is nothing without love" nilikua na galfriend wangu for 4yrs now but kulikua hakuna great interaction between me and she!
Tabia yake imenza kubadirika mara tu yakumaliza elimu ya secondary nikimtext anajibu shortly kwa mfano: sweetie mambo, umeamkaje jibu kutoka kwa bibie ni moja tu poa baada ya hapo usipo mtafuta na yy akutafuti
Nimevumilia sana ila hapana recently akaniambia ambayo binafsi haswaaa ndo yamenisukuma kuandika uzii huu! Mara baada ya kuniambia kwa anzia sasa haupo katika ramani ya kichwa changu akataja sababu kwamba sijui kupenda wala kupendwa kwa hivyo kwa nikae pending wanaojua kupenda wanionyeshe .
Binafsi maneno kama haya yaliniumiza ila she ! Bado na mpenda na juz kanitumia msg kwamba ameni miss baada ya kimya kirefu sasa niko njia panda naomba ushauri ni pige chini au niendelee kubaki nae! Katika hayo inadai u busy wangu ndounaoniponza ila kidume na jitahidi kushow love lakin workdone equal to zero! Karibuni kwa ushauri. Nawasirisha
Hata sjaendelea kusoma mkuu,angeeandika tu kiswahili tungemuelewa..tatizo la madogo zetu wa leo wanajifanya wamesoma hata akiwa kidato cha pili tu....Halafu akaendelea mbele kwa "she confusing me"
Kama majibu unayo wataka ushauri wa nini, nimesema AchaneniMh maneno yako yanaukakasi bado nampenda
umesema ameanza kubadilika baada ya kumaliza shule.....NOTE anakuona wewe kama mwanafunzi mwenzake..........kwanza wewe hujasema umri wako,,, isije kuwa tunamshauri mvulana na sio MWANAUME!!!!Sijasema nimwanafunzi