Yamenifika kooni, nimeshindwa kulea kiburi chake

Yamenifika kooni, nimeshindwa kulea kiburi chake

Unalea mke wawatu wewe siku yako ipo utalia vizuri.muache huyo sio wakwako kwamwanamke hakuna kitu kinauma kama kukataliwa mimba leo bado analeta jeuri hajajifunza tu? Muache kabla hujafanya mabaya ukafungwa kabisa
 
Huwa nashangaa single mamas wanaowasiliana na ex zao. Mtu alikutekeleza na mimba wa nini sasa?
Wewe endelea na life yako, huyo hafai.
 
pole sana!i know how u feel.pia hata mm nimejifunza c vzr kuoa mwanamke mwenye mtoto. mjomba alimuoa mwanamke mwenye mtoto ila yule mwanamke alithibitisha kua hana mawasiliano na yule bwana.cku moja mjomba akiwa kazn nilimsikia yule dada akimpigia cm ex husband wake na wanamuongelea mtoto da!kibays zaid hilo jamaa linaulza eti baba wa kambo wa mwanangu hajambo! cjamwambia uncle ila inauma.kama vp piga chini bana wakiwa na shida niwanyenyekevu kweli
 
Pole sanaa mkuu, samahani sanaa wewe umezaa naye watoto?,au wewe una watoto njee? Umefunga naye ndoa ?
 
Mwanamke yeyote mwenye mtoto siwezi thubutu kuwa nae kwenye mahusiano.
Ni wasumbufu sana
 
You may be right ila dizaini kama una wivu sn, mwisho wa siku ukweli ni kwamba mtoto sio wako, usijichoshe sn make sure baba wa mtoto anawajibika
 
Runaway love
Runaway love
Runaway love
Runaway love
Runaway love
Runaway love
Runaway love
Runaway love
[Verse 1: Ludacris]
Now little Lisa is only 9 years old
She's trying to figure out why the world is so cold
Why she's all alone and ain't never met her family
Mama's always gone and she never met her daddy
Part of her is missing and nobody will listen
Mama is on drugs getting high up in the kitchen
Bringing home men at different hours of the night
Starting with some laughs - usually ending in a fight
Sneaking in her room while her mama's knocked out
Trying to have his way and little Lisa says 'ouch'
She tries to resist but then all he does is beat her
Tries to tell her mom but her mama don't believe her
Lisa is stuck up in the world on her own
Forced to think that hell is a place called home
Nothing else to do but get some clothes and pack
She says she's 'bout to run away and never come back.
[Hook: Mary J. Blige]
Runaway love [x8]
[Verse 2: Ludacris]
Little Nicole is only 10 years old
She's steady trying to figure why the world is so cold
Why she's not pretty and nobody seems to like her
Alcoholic step-dad always wanna strike her
Yells and abuses, leaves her with some bruises
Teachers ask questions she making up excuses
Bleeding on the inside, crying on the out
It's only one girl really knows what she about
Her name is little Stacy and they become friends
Promise that they always be tight 'til the end
Until one day little Stacy gets shot
A drive by bullet went stray up on her block
Now Nicole stuck up in the world on her own
Forced to think that hell is a place called home
Nothing else to do but get her clothes and pack
She says she's 'bout to run away and never come back.
[Hook: Mary J. Blige]
Runaway love [x8]
[Verse 3: Ludacris]
Little Erica is eleven years old
She's steady trying to figure why the world is so cold
So she pops X to get rid of all the pain
Plus she's having sex with a boy who's sixteen
Emotions run deep and she thinks she's in love
So there's no protection he's using no glove
Never thinking 'bout the consequences of her actions
Living for today and not tomorrow's satisfaction
The days go by and her belly gets big
The father bails out he ain't ready for a kid
Knowing her mama will blow it all outta proportion
Plus she lives poor so no money for abortion
Erica is stuck up in the world on her own
Forced to think that hell is a place called home
Nothing else to do but get her clothes and pack
She say she's about to run away and never come back.
[Hook: Mary J. Blige]
Runaway love
Don't keep on runnin'
Runnin' [x4]
Don't keep on running
I know how you feel, I've been there
I was runnin' away too
I will run away with you [x2]
Runaway Runaway Love
Don't keep running away
I'll run away with you, if you want me too
[Outro: Ludacris:]
Yeah, I can only imagine what you're going through ladies,
Sometimes I feel like running away myself,
So do me a favor right now and close your eyes,
And picture us running away together,
When we come back everything is gonna be okay,
Open your eyes...

Hii ngoma nai feel sana since way back
Kaveli na Evelyn Salt mmenisakama sana kana kwamba hamjui kupenda na utu ni kitu kimoja. Maamuzi magumu naweza kufanya ila kabla sijafanya ndio naangalia na jamii mnaonaje huu mkasa kwanza kama nitakuwa wa kulaumiwa au laa
 
Last edited by a moderator:
Yeuwiii agawe vitu vya zamani hutaki kuviona sasaa bado kidogo utamwambia hata huyu mwanao sitaki kumuona! kama yamekushnda si uondokee au yeye tu ndio mwenye huduma unayotaka? alafuu kwanini mtoto asitumie jina la baba ake hata kama ulidanganywa ukangundua si mbaya mama alisema kwaajili ya past imegundulia mbona sioni ubaya? mawasiliano na mzazi mwenzie inategemea na unahakika gani achangii hata 10? umemkuta mtu na mtu wake umewaingilia leo unalazmisha waachane si utoke wewe????

Nmemkuta katelekezwa, elewa hilo kwanza. Hakuwa na mwanaume maishani na pia yy ndio alisema tokea mtoto ni mimba ya miezi mitatu hajawahi kupewa hata senti na huyo X. Mie nilikubali kujihusisha nae maana mtoto akiwa na jina la mama linaondoa hata mikwaruzo mbeleni kati ya watoto ntaozaa nae na huyu. Hivi umewahi kuangalia wadada waliotelekezwa na mimba watoto wanatumiaga majina ya ubini upi na kwa nn..!? Kachunguze haf utaelewa, na pia mie nilikuwa tayar kulea mtoto wa jina lake sio kulea mtoto wa koo nisiyoijua.
 
Kumpenda mwanamke mwenye mtoto/ mimba ya mtu mwingine na unaweka masharti....ni mapenzi au ujinga?
 
Pole sanaa mkuu, samahani sanaa wewe umezaa naye watoto?,au wewe una watoto njee? Umefunga naye ndoa ?

Sijazaa nae na wala sna mtoto yoyote. Ila kna mda niliwaza kuzaa nae na nikaona nimjaribu kumuuliza kama yupo tayar, ila aliponipa masharti na nikayakataa akaona lolote sawa hata nikizaa kwingine ndio nikaanza tilia mashaka upendo wake kama mwanamke.
 
Pigs chini kimbia humpendi na hskupendi achanaye mapema kabla mambo hayajawa makubwa
 
Best kwanza pole sana.......mahusiano na wanawake wa namna hiyo ni changamoto......kwanza huyobi dada inaonyesha hajitambui hata kidogo........hapo ni unatumika anaishi na wewe kama msamaria mwema........hivyo hisia za mapenzi ya ndoa hazipo kwako. Si kila msichana anayetelekezwa na mwanaume ni anaonewa wengine ni wanastahili hayo mateso maana MUNGU alishawaona viburi vyao hata kabla havijaanza .......hivyo anawapa adhabu ya kusota shenzi type.........huyo msichana ----- hahitaji mtu mwenye roho ya huruma kama wewe ambaye hata kumuacha unaomba ridhaa yake bila kuamua kibinafsi pekee yako.........ila fuata ushauri wangu.......acha huyo mwanamke .......shinda hisia za moyo zinazotaka kuongoza maamuzi yako fuata hekima ya kiume.......huyo X-man wake anajua kuwa anaweza kuwa ana emotional advantage juu ya hilo janamke ----- tena ----........na ukikaa vibaya siku atakuumiza hisia marambili hata utatamani jiua........anaweza fanya yafuatayo......1.Kuanza tena kufanya ngono kwa siri na huyo bazazi wake..2.Ataweza kukugeuka siku huyo jamaa akija na gia ya kutaka kuirudia familia yake ailee.....amini siku hiyo utalia kama mtoto mdogo na huyo demu ---- hatafikiria mara mbili kukukana na kukuacha na kukimbilia kwa huyo ---- mwenzake3.Jiandae kumuona anamimba nyingine ya jamaa huyo huyo..........
So why don't you be a man and dump her before she dumps you........dalili ya mvua ni mawingu .....usisubiri kulowa ndio ujiaminishe kuwa mvua itanyesha........fanya maamuzi magumu mapema.....usisubiri hadi upatwe na majanga na huku ishara zinakupigia kelele sasa..........shetani sio hadi anapenda kujificha kwenye vitu vizuri ili atushambulie nafsi zetu kwa urahisi ili atufanye watu wabaya kama na tufananie na roho yake......hapo anataka akupandikize roho ya chuki ili usiwena imani tena na mahusiano....usijali tena mwanamke hata kama atakuja mwenye roho nzuri......anataka uje kuwa wakala wake wa kushawishi binadamu wengine wasiwe na moyo wa huruma wa kuwapokea wanawake waliotendwa na wanaume mabazazi.........
Piga moyo konde.......mpe kisogo huyo msaliti wa wajane wenzake.......songa mbele yupo anayekusubiria ambaye anakiu ya huruma yako ambaye anaka apate hifadhi yako na malazi yako(sio maradhi maana kuna mabwege wanajifanya wanajua kiswahili watajimix hapa), mwanaume hupenda kweli baada ya kukosea mara kadhaa......hii ni miongoni mwa mwara kadhaa.....songa mbele hadi moyo utakapo komaa na kufahamu namna ya kujua ni wapi pa kupenda.......


ONDOKA........MUACHE......HAKUHUSU........HANA HADHI YA KUWANA WEWE.....HUYO NI SADAKA YA WANAUME MABAZAZI ILI ATUMIKE KAMA MFANO......NI NG'OMBE WA SADAKA..........KATAFUTE MWANAMKE MSTAARABU ACHANA NA HUYO KIZAZI CHA NYOKA .......THAT BITCH.......WALK AWAY.
 
Nmemkuta katelekezwa, elewa hilo kwanza. Hakuwa na mwanaume maishani na pia yy ndio alisema tokea mtoto ni mimba ya miezi mitatu hajawahi kupewa hata senti na huyo X. Mie nilikubali kujihusisha nae maana mtoto akiwa na jina la mama linaondoa hata mikwaruzo mbeleni kati ya watoto ntaozaa nae na huyu. Hivi umewahi kuangalia wadada waliotelekezwa na mimba watoto wanatumiaga majina ya ubini upi na kwa nn..!? Kachunguze haf utaelewa, na pia mie nilikuwa tayar kulea mtoto wa jina lake sio kulea mtoto wa koo nisiyoijua.

Dah mkuu umeniacha hoi. Yani mtoto akiwa na jina la mama anakuwa si wa ukoo wa baba au? Hapa naona ulikuwa unajipa faraja ambayo wala haikuwepo yangu mwanzoni. Kama unampenda mtu penda kama alivyo , muhimu ni mawasiliano ya karibu kati yako na mchumba wako. Mnataka nini? mnamudu vipi huyo mtoto , baba mtoto anapewaje maendeleo ya mtoto nk. Kama mama mtoto anakupenda basi nayeye atakupigania la sivyo sahau.

Pili mkuu una wivu sana : unataka vitu vyooote alivyowahi kupewa na X achome , nguo, kanga , leso nk? Je akichoma na moyoni hajamchoma si kazi bure ? Mtu anaweza hata kuchoma nyumba ili asikumbuke mahusiano ila ni yeye mwenyewe ndani ya moyo wake anajua na ni mpaka aamue tu kuwa anataka kukata mawasilino ndio itakuwa hivyo na si kwa kuchoma au kugawa vitu.
 
Dah mkuu umeniacha hoi. Yani mtoto akiwa na jina la mama anakuwa si wa ukoo wa baba au? Hapa naona ulikuwa unajipa faraja ambayo wala haikuwepo yangu mwanzoni. Kama unampenda mtu penda kama alivyo , muhimu ni mawasiliano ya karibu kati yako na mchumba wako. Mnataka nini? mnamudu vipi huyo mtoto , baba mtoto anapewaje maendeleo ya mtoto nk. Kama mama mtoto anakupenda basi nayeye atakupigania la sivyo sahau.

Pili mkuu una wivu sana : unataka vitu vyooote alivyowahi kupewa na X achome , nguo, kanga , leso nk? Je akichoma na moyoni hajamchoma si kazi bure ? Mtu anaweza hata kuchoma nyumba ili asikumbuke mahusiano ila ni yeye mwenyewe ndani ya moyo wake anajua na ni mpaka aamue tu kuwa anataka kukata mawasilino ndio itakuwa hivyo na si kwa kuchoma au kugawa vitu.


ukipenda ni lazma uwe na wivu, na kuhusu jina la ubini kama ni wa mama au baba nadhani watu wazima ndio wataelewa zaidi ni kwa nn bora ulee mtoto wa kufikia akiwa bado na umri mdogo sana na akiwa na eitha jina lako au la kwa mama tuu. Kwa ww sion haja ya kukuelezea hili maana nahisi bado unalelewa na hujaona maisha ya kimahusiano kwa mapana zaidi.

Kurudi ktk swala la nguo ni hivi, mie cna muda wa kuzichoma ila nachotaka ni azigawe kwa wenye uhitaji. Akae nazo kwa nia ipi hasa!? Hv mwanamke wako akikuvalia nguo ambayo alishawahi kukwambia alipewa na X zake utamwambia imekupendeza..!?
 
You should thank god that you are not married to her.
If i were you, i would cut my losses and go on with my life alone without her.
 
Kuna mawili kwa uliyoyazungumza.

1. Huenda wewe unakuwa na wivu kupitiliza mpaka naye anakuona kero ingawa hakwambii.

2. Kama siyo namba 1 basi basi huyo mwanamke ni jeuri na huenda ndiyo maana alitelekezwa.

Kama una amini unachosema ni bora ukatafute ustaarabu mwingine maana huyo mwanamke atakufanya uishi maisha magumu huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom