fundichupi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 382
- 238
- Thread starter
- #21
Kuna kitu hujatuambia! Una mtoto au watoto naye? Kwa mtiririko wa maelezo yako inaonekana kama hauna, kama ndivyo na umesema upendo umepungua ni nini kingine kinachokufanya ung'ang'anie kwake? Kama unaweza kuwahudumia unashindwa nini kwenda kuanza maisha ya uhuru na full of choices? By the way, siku hizi kama una senti za kubadili nguo na mboga hiyo tayari ni mtama kwa watoto...kwani unateseka na K iliyokwisha oteshwa sugu tangu zamani?
Sijazaa nae bado, nilimpima kwa kumwambia nataka mtoto nae akasema atanizalia endapo tuu ntaenda kwao kujitambulisha. Nikamwambia nisipofanya hvo je? Akasema basi hatobeba mimba yangu, nikamwambia nna ruksa ya kuzaa kwengine akasema ruksa. Hapo ndio nikaanza kujihoji kama ana mapenz dhati na mm ama amekaa nami kwa malengo yake binafsi.
Dimbinhe mawasiliano wamekata kwa sasa.... Na alipokuwa akipigiwa simu na X wake alikuwa ananipa ripoti.
@ Evelyn SaltNdio nachowaza dada angu, nikitoka kwake sitojihusisha na mwanamke mwenye mtoto hata awe mzuri kiasi gani. Changamoto nayoipata hapa na nikikumbuka ushauri niliopewa mwanzoni na mme wa dada angu najikuta naumia zaidi mana alinambia kudate mwanamke mwenye mtoto kunaleta na uchungu pia,nikapuuza mana alinipa mfano wa namna navyompenda mwanae ambae ni mtoto wa dada angu na namna ntavyobidi nmpende mtoto wakufikia. Mtoto wa dada yangu hamna anaenikataza uhuru nae mana mjomba ni mama ila wa kufikia ndio inakuja nikijali sana naambiwa na mama ake kwani unauchungu kuzidi mie mama ake..!? Yaan naumia balaaa.
Joasi mie sijamwoa huyu dada, twaishi kimahusiano ya kama wachumba tuu
Last edited by a moderator: