Yamenifika kooni, nimeshindwa kulea kiburi chake

Yamenifika kooni, nimeshindwa kulea kiburi chake

Ni aibu dume zima kulalamika bhana, kama vip sepa zako kimya kimya muachie kila kitu siumempotezea muda wewe utajijua mbele ya safari

Nimempotezea mda kivipi.? Na hali ni mie ndio natumia jasho langu kulea familia ambayo sijaianzisha mm..!? Usikurupukekupost bila kujua wachangia nn hasa
 
Nimempotezea mda kivipi.? Na hali ni mie ndio natumia jasho langu kulea familia ambayo sijaianzisha mm..!? Usikurupukekupost bila kujua wachangia nn hasa

Sijakurupuka ila elewa ni jambo la Aibu mwanaume kulalamika eti mwanamke wako hivi au vile
 
Na hilo la kumpenda sana yy na mtoto ndio vinaniumiza, baba halisi wa mtoto hana msaada wowote tokea mimba na hata hadi hv sasa hajawahi kutuma hata hela ya pipi. Mara kibao nmetaka kuachana na huyu mama ila nikimfikiria mtoto na atavyoishi ndio kunanifanya nirudi nyuma. Nilishamwambia hata huyu mama kuwa nakaa wakati mwingine sababu ya mwanae ili asikose malezi mazuri na huduma za msingi. Nilivyomwambia hvo akanijibu nisimweke mtoto ktk mambo yetu, nakaa kwa sababu namwitaji yy mke na sio upendo wa mtoto. Tokea hapo nikamwambia ukinichefua sitofikiri mara mbili khs kukuacha.

ushawekwa kiganjani wewe, hufurukuti wala huchemi. teh teh. basi endelea kuhudumia tu na kumlelea uyo jamaa mtoto wake. Mtoto akikua ataenda kwa baba'ake. Nikisoma maandishi yako, wewe tayari kwishney, hakuna maamuzi yoyote magumu utakayoyachukua. endelea kulamba asali mkuu
 
Mara nyingi huwa ni shida ila huwezi jua kuwa ni shida mpaka uzame kwenye mahusiano,ukweli ni kuwa mnapoanza mahusiano mara nyingi huwa hakuna anaeonyesha au kutaka mwenzi wake ajue mapungufu yake,kinachotokea ni kuwa muda unapozidi kwenda vitu vinaanza kujitokeza kimoja baada ya kingine,hapo ndipo ulipofikia mkuu,ni ngumu kumeza na inaumiza sana ila ndo hivyo cha kufanya ni kujitahidi kumkumbusha makubaliano yenu mwanzoni na hali ilivyo tofauti sasa hivi,anaweza kubadilika kama akili yake ni ya utambuzi vinginevyo hatalitambua hilo mpaka siku atakapojikuta ameachika ndio akili huwa zinawarudia.
 
Nimempotezea mda kivipi.? Na hali ni mie ndio natumia jasho langu kulea familia ambayo sijaianzisha mm..!? Usikurupukekupost bila kujua wachangia nn hasa

unavyolalamika ni kana kwamba unalazimishwa kuilea hiyo familia. hahahaaa mkuu wewe kwishney, na atakuburuza sana uyo mwanamke. Now 'chupi' imegeuza kibao, inakufanyia 'ufundi' wewe sasa. teh
 
Yummie nakuunga mkono mimi pia ni muadhirika wa "kupenda kwa dhati" na hiyo ndio inaniumiza saanaa. Mbaya zaidi ni mume sio boyfriend, ukigundua mtu unaempenda kwa dhati ana kucheat maumivu yake hayapoi,na inaweza ikatafuna mwili na akili zako kwa muda,kiasi kwamba unakata tamaa. Assume umeshazalishwa watoto kadhaa na mwanaume anaanza kuhangaika na vimada bila kujali hisia zako,hii ni mbaya sana. Watu wanahainga kupata wenza waaminifu na wengine wakipata hawatulii wanatapatapa kama chura alokosa maji
 
ushawekwa kiganjani wewe, hufurukuti wala huchemi. teh teh. basi endelea kuhudumia tu na kumlelea uyo jamaa mtoto wake. Mtoto akikua ataenda kwa baba'ake. Nikisoma maandishi yako, wewe tayari kwishney, hakuna maamuzi yoyote magumu utakayoyachukua. endelea kulamba asali mkuu
Anashindwa kumuacha akiwaza mtoto ataishije duuuuuuh
 
Anashindwa kumuacha akiwaza mtoto ataishije duuuuuuh

kwa sisi watoto wa uswazi.com, apo tunasema hivi: Uyo tayari keshapigwa 'zongo' la moyo. Penye NO, yeye anaweka YES. Penye usengerema, yeye anasema 'tawile mama' ! Msiba huu walai
 
Yummie nakuunga mkono mimi pia ni muadhirika wa "kupenda kwa dhati" na hiyo ndio inaniumiza saanaa. Mbaya zaidi ni mume sio boyfriend, ukigundua mtu unaempenda kwa dhati ana kucheat maumivu yake hayapoi,na inaweza ikatafuna mwili na akili zako kwa muda,kiasi kwamba unakata tamaa. Assume umeshazalishwa watoto kadhaa na mwanaume anaanza kuhangaika na vimada bila kujali hisia zako,hii ni mbaya sana. Watu wanahainga kupata wenza waaminifu na wengine wakipata hawatulii wanatapatapa kama chura alokosa maji

Pole ila unaathirika kisaikolojia,mtu akuweke roho juu tu. Mimi nilishindwa na namshukuru mungu namsahau japo nlimpenda kuliko
 
Runaway love
Runaway love
Runaway love
Runaway love
Runaway love
Runaway love
Runaway love
Runaway love
[Verse 1: Ludacris]
Now little Lisa is only 9 years old
She's trying to figure out why the world is so cold
Why she's all alone and ain't never met her family
Mama's always gone and she never met her daddy
Part of her is missing and nobody will listen
Mama is on drugs getting high up in the kitchen
Bringing home men at different hours of the night
Starting with some laughs - usually ending in a fight
Sneaking in her room while her mama's knocked out
Trying to have his way and little Lisa says 'ouch'
She tries to resist but then all he does is beat her
Tries to tell her mom but her mama don't believe her
Lisa is stuck up in the world on her own
Forced to think that hell is a place called home
Nothing else to do but get some clothes and pack
She says she's 'bout to run away and never come back.
[Hook: Mary J. Blige]
Runaway love [x8]
[Verse 2: Ludacris]
Little Nicole is only 10 years old
She's steady trying to figure why the world is so cold
Why she's not pretty and nobody seems to like her
Alcoholic step-dad always wanna strike her
Yells and abuses, leaves her with some bruises
Teachers ask questions she making up excuses
Bleeding on the inside, crying on the out
It's only one girl really knows what she about
Her name is little Stacy and they become friends
Promise that they always be tight 'til the end
Until one day little Stacy gets shot
A drive by bullet went stray up on her block
Now Nicole stuck up in the world on her own
Forced to think that hell is a place called home
Nothing else to do but get her clothes and pack
She says she's 'bout to run away and never come back.
[Hook: Mary J. Blige]
Runaway love [x8]
[Verse 3: Ludacris]
Little Erica is eleven years old
She's steady trying to figure why the world is so cold
So she pops X to get rid of all the pain
Plus she's having sex with a boy who's sixteen
Emotions run deep and she thinks she's in love
So there's no protection he's using no glove
Never thinking 'bout the consequences of her actions
Living for today and not tomorrow's satisfaction
The days go by and her belly gets big
The father bails out he ain't ready for a kid
Knowing her mama will blow it all outta proportion
Plus she lives poor so no money for abortion
Erica is stuck up in the world on her own
Forced to think that hell is a place called home
Nothing else to do but get her clothes and pack
She say she's about to run away and never come back.
[Hook: Mary J. Blige]
Runaway love
Don't keep on runnin'
Runnin' [x4]
Don't keep on running
I know how you feel, I've been there
I was runnin' away too
I will run away with you [x2]
Runaway Runaway Love
Don't keep running away
I'll run away with you, if you want me too
[Outro: Ludacris:]
Yeah, I can only imagine what you're going through ladies,
Sometimes I feel like running away myself,
So do me a favor right now and close your eyes,
And picture us running away together,
When we come back everything is gonna be okay,
Open your eyes...
 
fundichupi

Yeuwiii agawe vitu vya zamani hutaki kuviona sasaa bado kidogo utamwambia hata huyu mwanao sitaki kumuona! kama yamekushnda si uondokee au yeye tu ndio mwenye huduma unayotaka? alafuu kwanini mtoto asitumie jina la baba ake hata kama ulidanganywa ukangundua si mbaya mama alisema kwaajili ya past imegundulia mbona sioni ubaya? mawasiliano na mzazi mwenzie inategemea na unahakika gani achangii hata 10? umemkuta mtu na mtu wake umewaingilia leo unalazmisha waachane si utoke wewe????
 
Last edited by a moderator:
Na hilo la kumpenda sana yy na mtoto ndio vinaniumiza, baba halisi wa mtoto hana msaada wowote tokea mimba na hata hadi hv sasa hajawahi kutuma hata hela ya pipi. Mara kibao nmetaka kuachana na huyu mama ila nikimfikiria mtoto na atavyoishi ndio kunanifanya nirudi nyuma. Nilishamwambia hata huyu mama kuwa nakaa wakati mwingine sababu ya mwanae ili asikose malezi mazuri na huduma za msingi. Nilivyomwambia hvo akanijibu nisimweke mtoto ktk mambo yetu, nakaa kwa sababu namwitaji yy mke na sio upendo wa mtoto. Tokea hapo nikamwambia ukinichefua sitofikiri mara mbili khs kukuacha.

Hongera sana kwa kumpenda mtoto bila kuangalia kwamba sio wako

usijilazimishe kuishi na mtu kwa sababu fulani ambazo kwako ni mateso.........huyo mwanamke ataona umuhimu wako baadaa ya kumwacha..........kwa vile unampenda mtoto unaweza kumsaidia hata mkiachana
 
you can't delete someone past memories mkuu.kubaliana na halia au sepa usijiumize kuwa utabadili hicho kitu
 
Tatizo binadamu anatawaliwa na tamaa kupita maelezo. Tamaa zinafanya watu wanakosa msimamo kabisa. Akiona mwenye big nyuma anamtaka,mwembamba yumo,nido yupo. Ili mradi amuonje kila anaepita machoni pake. Sasa hili gonjwa tuliotulia tunaletewa bila kupenda. Dhambi ya uzinzi imewazonga watu.kuzini ni kama kunywa chai ya asubuh. Mpaka yatakaporudi ya sodoma na gomora ndio watu watabadilika
 
Huyo mwanamke akujiandaa kuishi na ww. Ilibidi iwe hivyo apate pa kujistiri..
Mkuu anaeumia ni ww c yy. So ukipenda kuishi maisha ya furaha na amani mweleze kiutu uzima, atakuelewa na kuyaunga mkono maamuzi yako
 
fundi chupi bana......!!! pole fundi.... mwanamke hujamuoa anakupa shida? ebu acha hizo kaka...be man....yaani tena unamuaga mapema......kimya kimya.
 
Back
Top Bottom