dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,359
Huyo bwana mdogo akiambiwa ataelewa na kuamini..isije akageuziwa kibao...
Binafsi kama ni mimi ningeuchuna tu mpaka aje agundue yey mwenyewe
hautakuwa tofauti na muuwaji
Huyo bwana mdogo akiambiwa ataelewa na kuamini..isije akageuziwa kibao...
Binafsi kama ni mimi ningeuchuna tu mpaka aje agundue yey mwenyewe
Mpigie dogo ujue yupo nae au mwingine anamega tunda! Kama mwingine mchane dogo ukwel, hawana maana hawa madem
Jamani Leo jioni hii nilikua nakula kitu roho inapenda,baada ya kinywaji kukolea kama mjuavyo toilet lazima ikuzoee.
Katika tripu zangu za toilet ambayo iko ndani ya gesti bila kutegemea nimekutana na shemeji yangu mke wa bwana mdogo tumbo moja akitoka bafuni kafunga taulo,alivyoniona kachanganyikiwa na me nikabaki nimeduwaa,sikumwambia chochote nikaondoka,
Sasa naomba ushauri wenu nifanyeje?
........I don't like cheating kabisa....ingekua mimi ningemwambia...
hautakuwa tofauti na muuwaji
Tuambie je huko gesti alikuwa na mwanamke mwenzake, au mwanaume kama wewe?Mpigie dogo ujue yupo nae au mwingine anamega tunda! Kama mwingine mchane dogo ukwel, hawana maana hawa madem
Jamani Leo jioni hii nilikua nakula kitu roho inapenda,baada ya kinywaji kukolea kama mjuavyo toilet lazima ikuzoee.
Katika tripu zangu za toilet ambayo iko ndani ya gesti bila kutegemea nimekutana na shemeji yangu mke wa bwana mdogo tumbo moja akitoka bafuni kafunga taulo,alivyoniona kachanganyikiwa na me nikabaki nimeduwaa,sikumwambia chochote nikaondoka,
Sasa naomba ushauri wenu nifanyeje?
Mimj nasema ivi kaa na mdogo wako alafu mwambie kila kitu kuhudu mkwe
Kwani siku akujua alafu akajua na wewe unafahamu utakuwa utata mkubwa
Ivi unajua tabis ni kama ngozi ya mwili haibadiliki
Hachana na ao ambao awajui uchungu wa ndoa
Je?wangekuwa ao ndo wenye ndoa alafu kamkuta yeye mwenyewe
Inauma
Hacheni ujinga
Are you perfect Mr?
Tuambie je huko gesti alikuwa na mwanamke mwenzake, au mwanaume kama wewe?
Mwambie bwana mdogo...hilo ni kosa la mwisho kabisa mtu kufanya kwenye ndoa.....sijui watu wanafikiria vipi>>>?