Yamenichanganya naomba ushauri wa haraka.

Yamenichanganya naomba ushauri wa haraka.

ukitaka kuwa mwanaume wa ukweli ongea na shemeji yako na akupeleke kwa huyo aliekuwa nae umchane pia
 
Usipanic mkuu huenda yupo na mdogo wako wameamua kubadili mazingira kdg sikukuu hizi si unajua tena? Usisite kutupa mwendelezo ili tuweze kutoa ushauri yakinifu.
kitendo cha kustuka maana yake hayuko naye , cha msingi ni yeye kwenda kumuoana bibie na kukaa kuongea naye kwamba alichokiona ni sehemu ya udhaifu wa kibinadamu , na maisha ya ndoa ndivyo yalivyo na amu hakikishie hata mueleza nduguye, kwishney. lakini akikaa kimya, bibie atajua jamaa anajipanga namna ya kumfikishia taarifa ndugu yake, hapo ni rahisi bibie kumtungia uongo shemeji yake ambao unaweza kuleta madhara katika mausiano yao ya undugu
 
Sijaelewa! Iv mpaka leo still kuna nyumba za wageni zenye vyoo vya kushare, au ushamba wangu?
 
Sijaelewa! Iv mpaka leo still kuna nyumba za wageni zenye vyoo vya kushare, au ushamba wangu?

ushamba wako tu mkuu,au unadhan gest zote bongo vyumba vyao n self contained?
 
kwani mwenye mke alikuwa wapi?x-mas yote hiii walitakiwa kuwa pamoja ;inawezekana alikuwa na small house ; mahali na mwenzake pia alikuwa nae kivyake;mwenye makosa ni mume kwanini hakuwa na mkewe??????????????
 
Kama mdogo wako wa tumbo moja angemuona mkeo katika hali kama hiyo wewe ungependa kuambiwa au kufichwa yale aliyoyaona mdogo wako!? Ukishapata jibu la swali hili basi hicho ndicho unatakiwa ukifanye. Kila la heri.

Jamani Leo jioni hii nilikua nakula kitu roho inapenda,baada ya kinywaji kukolea kama mjuavyo toilet lazima ikuzoee.
Katika tripu zangu za toilet ambayo iko ndani ya gesti bila kutegemea nimekutana na shemeji yangu mke wa bwana mdogo tumbo moja akitoka bafuni kafunga taulo,alivyoniona kachanganyikiwa na me nikabaki nimeduwaa,sikumwambia chochote nikaondoka,
Sasa naomba ushauri wenu nifanyeje?
 
kwanza hakikisha unamshawishi dogo awe na kifaa kipya then ndo uvunje ukimya kwake.
 
Ni vizuri ukaongea na huyo shemeji yako kwamba kulikoniii.
 
siku ingine upange chumba self contained.. uache watu wale raha zao bana.

pata picha ulivyomkaata stimu bidada!
 
Shida iko wapi mtu alikuwa na mme wake wanapumzika kidogo Sikukuu watu mmeanza kuwaza negative
Kawambia kwamba alikuwa anabanjua
 
Hizi gh za uchochoroni balaa, dogo wako atakuwa kamegewa na kapuku tu. Ambaye hana cash za kupeleka mzigo kwenye gh zenye viwango, ameniboa.
 
cha kufanya mkuu kwa sasa wewe kaa kimya bila kumuuliza chochote wala kumwambia mdogo wako. Tulia uone reaction yake mkikutana akiwa na mumewe...hapo yeye kama alikuwa anamcheat mumewe mi naamini hatarudia kwa kuwa hatajua km wewe umeshamwambia mumewe au laa, na labda anachunguzwa mienendo yake...ila kama alikuwa na mumewe siku hiyo basi utajua pia kwani utamuona ana amani tu km kawaida. Ila muhimu kaka wewe KAA KIMYA! maana ya wapendanao ni makubwa, wewe waweza mwambia mumewe leo kesho wameelewana waonakena wewe ni mbaya unataka kuvunja ndoa yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom