Khaaaa! hutaniwi? usmwambieNtakusema kwa Anti. Wallahi tena, ukiendelea ntakusema.
Ninong'oneze basi!Husninyo anakula maembe njiani akienda shule? Nimeanza kuunganisha dots... kuna mtu fulani (jina kapuni) ndio signature yake hiyo!
May be ''cuteface'' is just his 'filler' word ...lolUnajua nini Boss? Kuna profile kama 10 nimezitembelea na nakutana na "helloo cuteface".....
khaaaaa! huu si wimbo mpya wa mzee yussuf?
May be ''cuteface'' is just his 'filler' word ...lol
Aiseeee (source: MTM)Ninong'oneze basi!
Ha ha ha,
natamani kwenda show zake
ila bei sana eti elfu 5, khah!
Khaaaa ( source: klorokwini)Aiseeee (source: MTM)
Naona pamechafuka hapa,Mx
Mweeh mweeh na mi nae ndani...!nimerekebisha now
its cute face....lol
upo wewe cute face?????
Naona pamechafuka hapa,Mx
Mweeh mweeh na mi nae ndani...!
Nipo na kuna mahali nimekumaindi kwenye sred la wasukuma....
hapajachafuka, ndo tunavuta spidi tupachafueNaona pamechafuka hapa,Mx
Nimeirejea hii sredi kumbe kuna sehemu umeniita nyumba ndogo? khaaaaa!Khaaaa ( source: klorokwini)
Utani gani huo wa kumtwist mwenzio moyo? haya, simwambii.Khaaaa! hutaniwi? usmwambie
:gossip:Ninong'oneze basi!
Walikudanganya...mi si nilisikia ulihama na kuhamia kwa wachaga?
duh kumbe na wewe upo huko usukumani????
poleee
Dah! imekula kwetu wazee wa gunia la mkaaWalikudanganya...
Kwa msukuma tu for good....Utajibebelea!!