Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,495
- 145,866
uwii nilijua mimi peke yangu?
Ahahahahaaaa kumbe na wewe keshakuambia hivyo? Daaaaaah jamaa hatari sana aisee.
uwii nilijua mimi peke yangu?
Ahahahahaaaa kumbe na wewe keshakuambia hivyo? Daaaaaah jamaa hatari sana aisee.
jamani mm niliacha page ya 10 hata sielewi pa kuanzia. nimelewa.
soma soma tu, gonga like. sio lazima kujibu unless ni swali kwako. kamati tuko hapa kwa kujibu message za salam na za kutoa support. lol.jamani mm niliacha page ya 10 hata sielewi pa kuanzia. nimelewa.
soma soma tu, gonga like. sio lazima kujibu unless ni swali kwako. kamati tuko hapa kwa kujibu message za salam na za kutoa support. lol.
mimi kila siku nakuonaga umelewa tu,basi leo utakuwa ulizima kabisa
kila siku mm ni mlevi.
Aiseeee :nerd::nerd:nimemuona MTM cna nguv tena. Ngoja nikanywe valeur kidg alaf narud badae.
Sijui kwanini nahisi mpoleeee ndo level zangu kudate nae!!!!
oooops! sori.
ctoki na wanaume wanao uza sura! mwanaume atakiwa awe mwanaume.
Ubavu wa kunikataa kwasababu hiyo huna labda unikatae ukapate kuhadithia umenikataa lakini moyoni unajuta!!!
Dah! imekula kwetu wazee wa gunia la mkaa
nakupa nafas. jaribu tuone kama wewe kidume na usijifanye wanijia kwa pm.
Toa location tuandike historia!nikikupm jua nafunguka mazima au nakuja kihalisia!
yoyote ilimradi Mwali usimguse