klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
We nimeambiwa na Uncle mbele yako: hata brotherly kiss usitoe Mwali, sio kaka yako, sio ndugu yako (implied:he is dangerous!)
Walikuwa hawamaanishi, unajua mjombaako ana utani sana, nakumbuka zamani alikuwa anapost jukwaa la jokes tu wakati wewe haujajiunga