The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Walikudanganya...
Kwa msukuma tu for good....Utajibebelea!!
hongera
ili mradi uwe na furaha
i like to see you happy.....and he is a good guy.....
Walikudanganya...
Kwa msukuma tu for good....Utajibebelea!!
Ukichafua unadeki...hapajachafuka, ndo tunavuta spidi tupachafue
twist it towards the best . Mbona utani mzuri tu.Utani gani huo wa kumtwist mwenzio moyo? haya, simwambii.
:gossip:
Zamu ya aspirin leoUkichafua unadeki...
Niko macho ati, spidi ya mwali ni kubwa! Abiria nilikuwa nachunga mzigo wangu!Nimeirejea hii sredi kumbe kuna sehemu umeniita nyumba ndogo? khaaaaa!
hongera
ili mradi uwe na furaha
i like to see you happy.....and he is a good guy.....
I know, I know The Boss.... I am so veryhongera
ili mradi uwe na furaha
i like to see you happy.....and he is a good guy.....
Alafu wewe nimesha kushtukia... sitaki utani. Deskame mwanzo mwisho (except for kale kampango ketu ka nyota)twist it towards the best . Mbona utani mzuri tu.
Do you know him?
sasa "mzigo" unauchunga kwa kuuita nyumba ndogo? khaaaa! ukiona sijaandika kitu kwa dakika tano ujue tayari nimezimiaNiko macho ati, spidi ya mwali ni kubwa! Abiria nilikuwa nachunga mzigo wangu!
I know, I know The Boss.... I am so very
grateful!!
she once told me his name
so i am guessing its him...
Khaa na mwenzio alivunjika utumbo mwembamba?! HaweziZamu ya aspirin leo
Neno "Innocent" na "gentleman" liliingizwa kwenye dikshineri baada ya kuzaliwa mimi...... worry not deskmate...... kampango ka nyota , deal signed, wait for updatesAlafu wewe nimesha kushtukia... sitaki utani. Deskame mwanzo mwisho (except for kale kampango ketu ka nyota)
Acha nimbeep rejao basiKhaa na mwenzio alivunjika utumbo mwembamba?! Hawezi
No wonder Uncle alisema you are my personal protector... 🙂Neno "Innocent" na "gentleman" liliingizwa kwenye dikshineri baada ya kuzaliwa mimi...... worry not deskmate...... kampango ka nyota , deal signed, wait for updates
Natangulia bana, nimekusubiri hutoki humu ndani.Ukichafua unadeki...
Why doubt?.Are you sure Boss is talking about who you are talking about? I doubt it!
Natangulia bana, nimekusubiri hutoki humu ndani.
@ Mwali nakuacha uendelee kuchonga penseli ya lawyer
@ klorokwini i love you, take care.
@ The Boss karibu ugali
@ Nyani Ngabu unakunywa soda gani?
@ wengine wote see you when you see me!
Why doubt?.
Anyway he is 'guessing'....so its ok to doubt ...