Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

Darling no dear plz dont say that. Mie jino lanitesa ndo maana unaona sijakaa sawa

I won't say it again, you know me want to be close to you,small distance from me hurts....!

Pole kwa kuumwa jino, tatizo nini tena dear?? Nakuombea lipone haraka,kwenye picha za kuuzia sura na Mpole bungeni tupendeze
 
Pole sana. maumivu ya jino ni mabaya jamani... bora ulichukulie radical treatment kama hutaki liendelee kukusumbua.
 
Dah! nimefall in love hafla na mbunge mtarajiwa. Harama za vitenge vya bungeni vyote nitalipia mimi mpoleee wa zahabu
Umemuona Mpoleeee na mambo yake? yani lazima udondoke!
Alafu ninacho mpendea hua anaanzisha tu, sisi tunabaki kumalizia. lol
Btw, sweetlady anakutafuta.
 
I won't say it again, you know me want to be close to you,small distance from me hurts....!

Pole kwa kuumwa jino, tatizo nini tena dear?? Nakuombea lipone haraka,kwenye picha za kuuzia sura na Mpole bungeni tupendeze

Sawa dear wil talk chemba nalog off nilale kidogo
 
Hi bht! weekend ndio hii, kuna mpango gani huko kwenu?
Aaaam mpango mzima leo ni mbele ya tivii tu na fanta orange yangu na assorted cookies, miguu yangu nafunika na 'throw'...karibu! Chai nzito ya maziwa tangawizi na hiliki pia itakuwepo!
 
I won't say it again, you know me want to be close to you,small distance from me hurts....!

Pole kwa kuumwa jino, tatizo nini tena dear?? Nakuombea lipone haraka,kwenye picha za kuuzia sura na Mpole bungeni tupendeze
Ngoja na mimi nikazane kupaka caro light ili ziuzike haswa! Vile kloro amejitolea ufadhili atatuletea weaving za kichina na makucha bandia! Tutapendezaje Michelle?
 
Umemuona Mpoleeee na mambo yake? yani lazima udondoke!
Alafu ninacho mpendea hua anaanzisha tu, sisi tunabaki kumalizia. lol
Btw, sweetlady anakutafuta.
Huyu sweetlady anakuzingueni tu, mbona niko nae hapa "roho mkononi guest hauz"
Halaf deskmate jiandae aisee, soon ile ishu itatclick. stars...........
 
Aaaam mpango mzima leo ni mbele ya tivii tu na fanta orange yangu na assorted cookies, miguu yangu nafunika na 'throw'...karibu! Chai nzito ya maziwa tangawizi na hiliki pia itakuwepo!
Naona mpango wako unanifaa... nakuja na romance comedy 2 and a male friend. ni sawa?
 
Back
Top Bottom