Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

Yaliyonikuta Mpoleeee = from Mpoleeee to Golden mpoleeee

Halaf leo nina mzuka wa kutongoza kizeee kweli aisee, hivi hapa JF hakuna vipenshenia?
 
Huyu sweetlady anakuzingueni tu, mbona niko nae hapa "roho mkononi guest hauz"
Halaf deskmate jiandae aisee, soon ile ishu itatclick. stars...........
Niko tayari, mkoba wangu kwapani! Alafu kehso saturday hakuna class...
Roho Mkononi Guest House? hahahhahahaha
 
Ngoja na mimi nikazane kupaka caro light ili ziuzike haswa! Vile kloro amejitolea ufadhili atatuletea weaving za kichina na makucha bandia! Tutapendezaje Michelle?

Mimi tena,kwa hela isiyo ya jasho langu...tutapendezaje sasa?? Naomba usinitie aibu bungeni kwa kuwa mweupe kichwani miguuni mweusi,omba hela ya Caro light kama huna,ujipake mwanzo mwisho.....hadi lips za sehemu zote ziwe nyeupe....tukang'ae na wateule mjengoni....utanitaka sasa...chezeya Kloro wewe,mwanaume wa ukweli.....!!
 
Hahaha! Nimeagiza box zima!...lol, sipati picha uso mweupe miguu myeusi tiiiii afu imekomaaaa! Kloro namuaminia na hivi kafall in love kwa mbunge mtarajiwa tutafaidi sana!
 
Hahaha! Nimeagiza box zima!...lol, sipati picha uso mweupe miguu myeusi tiiiii afu imekomaaaa! Kloro namuaminia na hivi kafall in love kwa mbunge mtarajiwa tutafaidi sana!

Tushamfaidi sana Kloro hadi akahama JF,akaenda jipanga upya...tatizo lake hela zake za msimu...akiwa nazo we chukua tu uchimbie chini (ila uniambie,incase of anything) Lol,ngoja nikawajibike kidogo,nitarejea....nitunzie mbunge wangu!
 
Nimeona mwali wangu, kama vipi tumnunie!
Mimi Mwali sijui kununa. Kila ukiniona ni tabasamu tamu tu. Somo wangu AshaDii alinambia nijaribu kupunguza kucheka ila nilishindwa, ndio tukaamua kufunika my lovely smile... lol
 
Back
Top Bottom