klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Not a problem mwali wangu...karibuni!
Btw: nisalimie deskimeti wako, speed yake siiwezi mie...
Bht jana mamod tulikuwa na kikao na nikapendekeza jina lako ukuwe moderator wa maprofile ya kinadada, habari zaidi nitakujulisha mkakati ukimalizika. Kikao kina mvutano sana lakini kwavile mimi ni katika veto mods usihofu kabisa. tayarisha shampeni lako