Yaliyomsibu kaka yangu

Huyo pichani ndio wewe?
 
Kuwa mpole tupewe mawaidha....au unao nini?
Hili swali si nishakujibu hapo juu lakini?

Haya pata mawaidha alafu ukapime[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili swali si nishakujibu hapo juu lakini?

Haya pata mawaidha alafu ukapime[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko msafi mimi...sihitaji kupima [emoji16]...uje nujipimie kwako.
 
Kaka angetupatia na kapicha tuone walioathirika wanafananaje jamani.... Mbona msala huu...
 
Kuna dada aliandika story yake, yeye alikaa five years baada ya kuwa diagnosed bila boy friend wala sex. Alikutana na mkaka walianza dating, mwisho waliamua kuishi pamoja. Kwa mwaka mmoja, kaka alinunua engagement ring. Siku moja anatoka kazini jioni alifanyiwa surprise ya engement. Dada alilia sana, ikabidi amueleze yule kaka ukweli.

Boxer aliyokuwa amevaa jamaa ilikuwa ndogo ghafla. Alikwenda ndani akapack begi lake alikwenda kucheck in hotelini.
Baada ya hapo alikwenda baa alikunywa mpaka baa inafungwa.

Asubuhi alipiga simu kazini kuwafahamisha hatakwenda siku ile, alikwenda kwenye kitengo. Alimueleza daktari hali halisi. Daktari alimwambia mara nyingi waathirika wakiwa kwenye control ya ugonjwa hawaambukizi na pia huwa hawahangaiki sana. Kana unampenda nenda nyumbani mkaongee. Majibu yalikuwa-ve.

Alirudi nyumbani na engagement iliendelea.
 
Oooh hapo sawa. Tunapaswa kuwa makini sio mitandaoni tu bali hata huku mitaani maana tuliopo humu ndio hao hao tuliopo mitaani.
Taabu inakuja sasa eti watumia dawa hata akipimwa inaonyesha negative[emoji134][emoji134][emoji134]
Hapo ndio shughuli jamani, tutapona kweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…